Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa mnaotumia TTCL hiki kipengele kilichoainishwa hapa chini hakijabadilika hata kidogo? Kama hakijabadilika itabidi nisajili line ya TTCL



"bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini"
Kmeshabadilika kitambo sana aseeeee
 
Mwenye lain ya ttcl naomba aniangalizie vifurushi vya internet vya usiku vipoje
Hiki ni T-Connect
Screenshot_20211124-113115.jpg
 
Back
Top Bottom