Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Yaani imebidi nirudi kujisalimisha Vodacom sh1500 napata GB1 dk150 voda dk15 yote kwa wiki moja

Mtandao gani unakifurushi bora zaidi ya hiki?
Screenshot_2020-08-21-16-30-22-1.jpg

Nimewahama Halotel wamekua very slow
 
Yaani imebidi nirudi kujisalimisha Vodacom sh1500 napata GB1 dk150 voda dk15 yote kwa wiki moja

Mtandao gani unakifurushi bora zaidi ya hiki?View attachment 1543996
Nimewahama Halotel wamekua very slow
Inategemeana na eneo ulipo
Kwangu mimi mtandao pekee wenye intanet ya kueleweka ni Halotel

Yaani mahali nilipo Tigo kubadili DP tu shida
Voda nayo shida tupu
 
Inategemeana na eneo ulipo
Kwangu mimi mtandao pekee wenye intanet ya kueleweka ni Halotel

Yaani mahali nilipo Tigo kubadili DP tu shida
Voda nayo shida tupu
Mi nashangaa mwanzoni hapa nilipo halotel ilikua inakimbiza vibaya
Sasa hivi mwendo wa kobe
 
Back
Top Bottom