Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

kifurushi kipo ktk royal bundle kinaitwa tanzanite ni tsh 50,000 unapiga simu bila kikomo,sms na internet unapewa mb za kasi na badae bila kikomo ila speed inapungua
Sasa si bora usajili laini nyingine ya tanzanite kifurushi icho icho ni elfu 20,dakika 200 mitandao yote kila siku,sms 500 kila siku na gb 50 kwa mwezi
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    4.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom