Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

tigo napata dakika 250 all net

Gb 1.3

sms 100

kwa buku 2 wiki nzima

sijawaza kuhama kabisa hapa maana matumizi ya elfu 8 kwa mwezi ni bomba sana!
 
Halotel wanalaini zao wanaziita tanzanite mi nimezipenda sana kwa mwezi elfu 20 unapewa gb50,dakika 200 mitandao yote kila siku,na sms 500 kila siku
Screenshot_20200615-215704_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom