Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu mnaotumia tigo za chuo, bando zao zipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuhizi line za Tigo vifurushi vinaanzia tsh elfu tatu kama hapo chini.

Wakati kipindi cha nyuma line ya chuo vifurushi vilikua vinaanzia 1500 kwa wiki
Screenshot_2020-04-21-08-39-03~2.jpg
 
Korona imenirudisha kwenye movies na series
Kifurushi natumia ni ttcl
500 napata gb 2 kuanzia saa 6 usiku hadi majogoo
1000 napata gb10 kuanzia saa 6 usiku hadi majogoo

Tatizo lao speed inachanganya kuanzia saa 8 usiku

Kuna bora zaidi ya hii?
 
halotel ukiwa na 4g kuna ofa balaa yaani ukinunua kifulushi cha buku 5 unapata gb 7 wiki, na kuna ka ofa mbele yake ya gb 1 na dk 100 [mitandao yooote] mwezi mzima.
 

Attachments

  • 3G Connection Manager 5_5_2020 8_13_34 AM.png
    3G Connection Manager 5_5_2020 8_13_34 AM.png
    72.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom