Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
Shukrani mkuu ngoja nifanye mpangoKaribu mkuu,utakuja kuleta mrejesho hapa wa kushukuru!!!
Shukrani mkuu ngoja nifanye mpangoKaribu mkuu,utakuja kuleta mrejesho hapa wa kushukuru!!!
Mitandao yote mkuu, kutakuwa na unafuu fulani mitandao ya simu wamepewa.Baada ya VodaCom kupunguza vifurushi vya data naona na Halotel wamepunguza sana bei ya vifurushi voice na data.
Kwa halotel navionaje mkuu hivo nafuu.Baada ya VodaCom kupunguza vifurushi vya data naona na Halotel wamepunguza sana bei ya vifurushi voice na data.
*150*88#
Nihamie halotel sasa..pakikucha niwe kwa wakala na namba ya nida!Halotel kumekucha huko unapiga menu yao ya halo pesa ambayo ni *150*88# >namba 3 vocha na vifurushi kisha >mega bando View attachment 1400157View attachment 1400158
Nihamie halotel sasa..pakikucha niwe kwa wakala na namba ya nida!
Mkuu mbona umechelewa sana kwenye hili...Halotel kumekucha huko unapiga menu yao ya halo pesa ambayo ni *150*88# >namba 3 vocha na vifurushi kisha >mega bando View attachment 1400157View attachment 1400158
Mkuu mbona umechelewa sana kwenye hili...
Hivyo vifurushi vipo kitambo sana mkuu.Mmhhh unasema mi nimechelewa kivp mmuu mkuu sjakuelewa hapa
Niko kambini sasa tayariMkuu inamaana bado ulikuwa hujahamia tu wenzako tumeshaeka na kambi kabisaa hatubanduki mpaka waoundoea mabando murua yao