Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Da tatizo kukesha ndio mziki ila hapa kuna course udemy nataka kuzishusha ni GB kama 60 ivi iyo ya halotel ni unlimited as unlimited au unlimited but limited to certain MBs
Ni unlimited. Ukijunga cha 1500 kina GB 10 ila cha 1000 ramadhani ofa unatumia unlimited. Juzi nimepakua mzigo wa zaidi ya GB 10. Ikifika saa 5: 50 usiku. Unajiunga kifurushi chako. Unasubiri saa 6 kamili. Una download video zako, kisha unalala unaacha inajipakua. Kuna wakati huwa inakata ila ni mara chache. Unatakiwa unategesha alarm hata 9, unacheki kisha unaendelea kulala.
 
Nd
Halotel kwa hapa sina ila ngoja nifanye mafekeche kesho nikanunue, ivi kupata ile namba ya nida si ukipiga hata *152*00# unaipata? Maana inabidi nikasajiri na kitambulisho sina wala namba ya nida sina
Ndiyo ila nipisikia tu kwenye tangazo ukisha pga iyo then unaweka namba ya simu uliyo andikisha NIDA Kama ukuandikisha sijui unaandika zero ngapi kupata ID #
 
Ikifika saa 5: 50 usiku. Unajiunga kifurushi chako. Unasubiri saa 6 kamili. Una download video zako, kisha unalala unaacha inajipakua. Kuna wakati huwa inakata ila ni mara chache. Unatakiwa unategesha alarm hata 9, unacheki kisha unaendelea kulala.
Mzigo wote nataka kuudownloadia kwa smartphone kwa utorrent kwani inaweza tokea shida
 
Nd
Ndiyo ila nipisikia tu kwenye tangazo ukisha pga iyo then unaweka namba ya simu uliyo andikisha NIDA Kama ukuandikisha sijui unaandika zero ngapi kupata ID #
Yaani hata nida siwafahamu ivo mm ni mgeni kabisa du sijui ntumie njia ipi sasa kupata iyo ID number ya nida
 
C
Chief hope unaona naomba unisaidie kumuelewesha kidogo uyu baharia
Hicho kifurushi nimekutumia sana ila ikifika siku 3 kinaisha. Mara 4 kifurushi kinaisha kwa siku 3 huoni hapo kuna tatizo? Nikaamua kukipiga chini. Labda kama wamerekebisha hivi karibuni. Tatizo unanibishia utafikiri wewe ndiyo uliyekuwa unatumia hicho kifurushi. Siwezi kukubali unachoandika wewe wakati mimi ndiye nilikuwa natumia na hayo ndiyo yalinitokea. TATIZO UNAJIFANYA MJUAJI SANA KAMA CUSTOMER CARE WA HALOTEL. Nishawahi kuunganishwa kwenye kifurushi cha hadithi cha Tigo ambacho sikuwahi kujiunga.
 
Yaani hata nida siwafahamu ivo mm ni mgeni kabisa du sijui ntumie njia ipi sasa kupata iyo ID number ya nida
Risk tu, Sijajua jinsia yako ila una mtu was karibu yako ata baby mama atakua na id ya NIDA mwambie akakuchongee namba Risk,

Ni kosa lakini la kimtandao kutumia I'd ya mtu mwingine
 
Hicho kifurushi nimekutumia sana ila ikifika siku 3 kinaisha. Mara 4 kifurushi kinaisha kwa siku 3 huoni hapo kuna tatizo? Nikaamua kukipiga chini. Tatizo unanibishia utafikiri wewe ndiyo uliyekuwa unatumia hicho kifurushi. Siwezi kukubali unachoandika wewe wakati mimi ndiye nilikuwa natumia na hayo ndiyo yalinitokea. TATIZO UNAJIFANYA MJUAJI SANA KAMA CUSTOMER CARE WA HALOTEL. Nishawahi kuunganishwa kwenye kifurushi cha hadithi cha Tigo ambacho sikuwahi kujiunga.
Aisee kwani ulitaka utumie siku ngapi gb 1 mkuu? Na matumiz yako mostly ni app gani? Je unauwakika akuna any app ambayo inakula bundle bila ya ww kujua?

Naomba kujua unatumia device gani , Kama ni simu naomba unatajie na model

Speed ya net kwa haotel sa ivi ni kubwa so kukata bundle ata kwa nusu siku ni kawaida kulingana na matumizi yako
 
Risk tu, Sijajua jinsia yako ila una mtu was karibu yako ata baby mama atakua na id ya NIDA mwambie akakuchongee namba Risk,

Ni kosa lakini la kimtandao kutumia I'd ya mtu mwingine
Itanibidi nifanye tu ivo maana sitatumia kwa mawasiliano zaidi ya bando tu la net
 
Mkuu ivi halotel wana modem za 4g?
Unajifanya mjuaji hata mtandao hujui kama una Modem za 4G au hapana. Siku nyingine usipende kuanzisha ligi na watu kwa lengo la kutafuta umaarufu JF. Nakuambia hayo kwasababu ndiyo yamenitokea kwa siku 4 lakini unabisha utafikiri wewe ndiyo ulikuwa unatumia hicho kifurushi. Sidhani kama hicho kifurushi ushawahi kutumia. Mwisho nikaamua kukipiga chini.
 
Haha

Senior member anamwambia jf-expert member kua anatafuta umaarufu hahahaha

USIPANIKI MZEE BABA
 
Angalia muda nilio jiunga ilo bundle
 
Attachments

  • Screenshot_20190924-222034~3.png
    Screenshot_20190924-222034~3.png
    8.5 KB · Views: 20
Haha
Senior member anamwambia jf-expert member kua anatafuta umaarufu hahahaha
USIPANIKI MZEE BABA
Usije ukaona ni Senior member ukadhani ni Senior member. Nina ID kama 5+. Na hii ni mpya naitumia kuwapoteza maboya. Na usifikiri ni mgeni wa simu, computer, modem, Router n.k vyote hivyo navijua. Kwahiyo wewe shughulika na mambo yako kwasababu hauna kipya cha kuweza kunifundisha mimi milele. JF ni jukwaa huru kwahiyo siyo lazima uchangie kila uzi na u-quote watu ovyo ovyo. Wew ungesoma comment yangu ukaicha kama ilivyo.
 
Sawa mkuu usialibu reptation then sibishani na fake ID mi nilikua ktk harakati za kueleweshana tu no hard feelings
Usije ukaona ni Senior member ukadhani ni Senior member. Nina ID kama 5+. Na hii ni mpya naitumia kuwapoteza maboya. Na usifikiri ni mgeni wa simu, computer, modem, Router n.k vyote hivyo navijua. Kwahiyo wewe shughulika na mambo yako kwasababu hauna kipya cha kuweza kunifundisha mimi milele. JF ni jukwaa huru kwahiyo siyo lazima uchangie kila uzi na u-quote wa ovyo ovyo.
 
Sawa mkuu usialibu reptation then sibishani na fake ID mi nilikua ktk harakati za kueleweshana tu no hard feelings
Haukuja kwa lengo la kunielewesha ila ulikuja kunionesha kuwa wewe unajua zaidi kuliko mimi ndiyo maana ulianza na neno la "acha kupotosha watu"
Jifunze kuandika maneno vizuri maana huko unakoelekea hautakuwa hauna tofauti na mwanafunzi wa darasa la kwanza.
usialibu -Usiharibu
 
Kwani uongo mkuu we unapotosha jukwaa , tho nimeipenda Avatar yako😆😂
 
Back
Top Bottom