Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

IMG-20190725-WA0000.jpeg
 
Cha week, maana tuki_assume, wewe kwa week moja tu tayar umeshatumia tshs 2,000, sasa huoni hayo ni matumizi mabaya ya fedha?? .



Smart guy
Kiukweli katika vitu ambavyo vinanifanya na matumizi mabaya ya hela ni Bundle, yaani kwa siku naweza tumia zaidi ya gb 1 kwa siku..
Sijui nifanyeje wadau
 
Jaribu kwenye menu ya saizi yako.

*147*00#

Kisha bonyeza moja saizi yako.

Ukikosa kifurushi kizuri Hapo, jaribu ofa maalumu kwa *148*00#
Kwenye saizi yako wamentolea ofa ya 1500 gb 2 , yaan moja usiku na moja mchna

Sa sijui wanantakia nn hawa
 
Kwenye saizi yako wamentolea ofa ya 1500 gb 2 , yaan moja usiku na moja mchna

Sa sijui wanantakia nn hawa
Ni majanga mkuu, Kama umekosa humo sidhani Kama Wana vifurushi vyengine vizuri vya internet,

Kama una simu ya laini 2 eka Halotel ama TTCL wao Sasa hivi ndio Wana unafuu wa vifurushi.
 
Lain yangu mpya tangu day 1 nikiunga ni vituko,lakin hata lain ya mwanzo mbona nilkua naunga kila siku fresh,juz juz ndo wmeanza kufanya vtuko lain zote
Hawa jamaa wanadai hichi kifurushi usiunge zaidi ya mara 3 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom