Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi sijawahi kujiunga hiki kifurushi ila kwa screenshot za wadau ni 800kbps/1mbps speed ikipungua.

Kwa hii speed huwezi kuangalia HD youtube na netflix bali utaangalia kwa sd yaani 480p.

Inategemea unatumia kifaa gani, kama ni. Simu tu sd haina neno itakua kawaida tu ila kama unatumia tv hasa hizi za kisasa itakua quality ndogo
Mkuu kwa ushauri wako, niko kutafuta mesh router yenye uwezo wa kuhudumia watu wengi kwa hapa nilipo ofisin floor ya chini yote na ghorofa mbili za juu...naomba unishauri ni ipi inawez kunifaa, nipo naiangalia hii hapa(tp-link deco s4) ila sina uhakika nayo sana kw specification zake, naona km italemewa, ht hivo mimi sjawahi tumia hizi mesh so sina uzoefu nazo, I need some advice...asante chief
 
Nimecheki mkuu si mbaya, kama unaipata kwa around laki 3 kushuka.

Ni Wifi 5 router (latest ni wifi 6 na 6E ila hata hio 5 si mbaya) na range yake ni kubwa zaidi ya Square feet 5000 so itakufaa jengo lako. Ila naona wanarecomd watu around 20 sijajua jengo wahusika ni wangapi.
 
Okay sir...Wahusika ni kama 30+ hivi. Zenyew si ziko tatu, so nilikuw nafkiria maybe moja ikikaa chini ya pili ambay itakuw imeunganishwa na router (supakasi) ikae first floor, na ya mwisho juu kabisa second floor, hapo maybe the whole area itakuwa covered...haya mahesabu yako saw kweli chief au nmeshakwama?
 
Hii router inakubali hadi watu 100 ila haimaanishi wote 100 wanaweza hudumiwa mda wote wakiwa wanafanya kazi heavy. So maybe watu 30 inaweza mudu ila sina uhakika. Kama budget inaruhusu go with wifi 6E router.

Coverage sio issue, maana reviews zote nilizocheki ni strong point ya hii router, ukiweka kimoja juu, kimoja chini na katikati utacover jengo.
 
Attachments

  • 71JyXQgu57L.jpg
    71JyXQgu57L.jpg
    132.8 KB · Views: 35
Hii router inakubali hadi watu 100 ila haimaanishi wote 100 wanaweza hudumiwa mda wote wakiwa wanafanya kazi heavy. So maybe watu 30 inaweza mudu ila sina uhakika. Kama budget inaruhusu go with wifi 6E router.

Coverage sio issue, maana reviews zote nilizocheki ni strong point ya hii router, ukiweka kimoja juu, kimoja chini na katikati utacover jengo.
True, ngoja nicheki na hiyo 6E. Thanks again chief!
 
Wakuu kwaiyo mnataka kunambia kwamba hakuna njia ya mimi kupata fiber au louter ambay ntalipia 100k kwa mwezi huku kigamboni maana nashida sanaa asee
 
Supakasi voda mkuu, 120k.

Kwa fiber maybe TTCL, mtaani ukipita hakuna nguzo za Fiber unazoziona?
 
Haya baada ya kupata internet ya uhakika njoo nnikupe details zangu za Dstv ulog in na uenjoy kila aina ya burudani ina zaidi ya chanel 150 kifurushi cha juu kuliko vyote chanel zote za michezo zinafunguka na za kombe la dunia zote iwe za lugha ya kiswahili ama kifaransa ama kingereza ni wewe bei ni sawa na buree na hulipi kila mwezi ni kila baada ya miezi 3 kuna nafasi kama 2 hivi malipo ni baada ya kazi ukiridhika na huduma unapewa mda wa kujiridhisha kama nusu saa ndio unalipia kwa mawasiliano 0756695846.

Chakufurahisha app ya Dstv haili kabisaa mb yaani unaweza set qwality ya picha utakavo ina option 5 za qwality ni wewe huwa natumia kuangalia mpira kwa full time kwa dakika 90 natumia mb 200 au 300 tu wakati app zingine dakika 90 unajikuta umetumia gb1 kabisaa au zaidi mfano kama app ya mobdro nk toka nmeifahamu hii dstv siwezi kutumia app yoyote nyingine maana zinakula bando hatari ila hii dstv tumia utakuja niambia nimekaa pale hivi.
 
Ni poa sana namm natumia hii pamoja na Azam , sema kuziweka public hivi inaweza kukuletea majanga maana sikuhz wapo serious sana dstv mtu anaweza kujifanya mteja ukawekwa ndani mzee, kuwa tu muangalifu,

Kuna mwanangu alikuwa anauza line za dili za Airtel/ttcl za unlimited internet wateja wakamchoma yupo ndani mwezi Sasa kesi haielewek inaenda wapi
 
Sehem gan huko mkuu
 
Back
Top Bottom