VIFURUSHI VYA CHUO...

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Habari wadau, kupitia uzi huu naomba tujuzane sehemu adimu karibu na vyuo ambazo tunaweza kuongeza wese letu humu J.F ,kuna wakati unakuwa karibu na chuo lakini huwezi kujiunga tuambiane bac Hii ni Kwa Tanzania nzima....Mfano mimi naanza na kituo cha MAKONGO ukiwa unaelekea Tegeta DSM.
 
Unaacha shughuli zAko kwa ajili ya 1500. Tukupime akili. Kajiunge kigamboni.. Ujashajiunga mrejesho.
 
Habari wadau, kupitia uzi huu naomba tujuzane sehemu adimu karibu na vyuo ambazo tunaweza kuongeza wese letu humu J.F ,kuna wakati unakuwa karibu na chuo lakini huwezi kujiunga tuambiane bac Hii ni Kwa Tanzania nzima....Mfano mimi naanza na kituo cha MAKONGO ukiwa unaelekea Tegeta DSM.
yupo likizo,nyie wanafunzi nsitujazie inzi na midonda yenu..
 
Kwani huwezi kuongeza wese mpaka karibu na chuo, eboh nenda kasome huko utupunguzie ujinga humu.
 
Habari wadau, kupitia uzi huu naomba tujuzane sehemu adimu karibu na vyuo ambazo tunaweza kuongeza wese letu humu J.F ,kuna wakati unakuwa karibu na chuo lakini huwezi kujiunga tuambiane bac Hii ni Kwa Tanzania nzima....Mfano mimi naanza na kituo cha MAKONGO ukiwa unaelekea Tegeta DSM.
Mkuu na wewe uko chuo?
 
Nunua Halotel laini ya chuo uondokane na shida hizo za kukatisha safari kufata 1500
hapo hapo anapanda gari mpaka karibu na chuo kwa ajili ya kifurushi cha 1500 ilhali anatumia nauli ya 1000 kwenda na kurudi. Kama si uboya sijui nini huu.
 
inategmea na mnara umegeuziwa wapi waweza ndio kuwa mabibo hostel njiani usijiunge ..
mpka uende hostel
ila hostel sasa majengo ya nyuma mpk karbu kimara inakubali..
lakini ukiwa kwenye gari la mbagala ukifika TIA vinakubali..
 
Back
Top Bottom