Bado ni nafuu sana wakuu tuache kulalamika sana! Ungekuwa unaingia internet cafe kwa hiyo 800 yako ungekuwa unaitumia kwa muda gani na ungeweza kutumia GB ngapi?!
Kula urefu wa kamba yako mkuu.
Kwa nini unalinganisha na bei za internet cafe? Mawazo ya yule mama Malkia aliyewaambia wanaolalamikia upungufu wa mikate wakale keki.Bado ni nafuu sana wakuu tuache kulalamika sana! Ungekuwa unaingia internet cafe kwa hiyo 800 yako ungekuwa unaitumia kwa muda gani na ungeweza kutumia GB ngapi?!
Kula urefu wa kamba yako mkuu.
Mkuu unapiga code gani kuchagua hiyo huduma.Mafno cha 6GB week ni 2500 laki sasa week ni 2.5GB only nimesema hicho maana ndo natumia mim
Mkuu unapiga code gani kuchagua hiyo huduma.
*148*88# alafu fuata maelekezo
Mafno cha 6GB week ni 2500 laki sasa week ni 2.5GB only nimesema hicho maana ndo natumia mim
nataka kuuliza hivi hawa airtel wana vifurushi vya internet vya usiku km vile tigo ile ya gb30 au voda ile wajanja nyt?
wanacho gb 30 siku 3. kinaanza saa 6 usiku lakini
gb30 kwa bei gan mkuu