Vifurushi Bomba vya internet

namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
172
186
Habar wanajamii, naomba kwa anaejua vifurushi vya bei nzuri anijuze, maana nilikuwa natumia voda vifurush vya chuo ila dah wamepandisha, tigo nayo ndio kabisa, wenzangu mnajiunga vifurushi gani bomba.
 
Habar wanajamii ,naomba kwa anaejua vifurushi vya bei nzur anijuze,maana nilikuwa natumia voda vfurush vya chuo ila dah wamepandsha,tgo nayo ndio kabisa,wenzangu mnajiunga vifurush gan bomba.
Karibu Zantel
Niambie nije nikusajirie
 

Attachments

  • IMG_20200602_174109.jpg
    IMG_20200602_174109.jpg
    12.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom