Mtotowamama
Member
- Oct 25, 2012
- 61
- 13
Nimesoma na nimeguswa sana! Mwaka huu mwanangu alifariki mara tu baada ya kuzaliwa na mama yake hakuiona hata maiti ya mtoto wake! Hapa nilipo machozi yananilengalenga!
Mimi pia mwanangu alifariki masaa machache kabla hajazaliwa kwa kweli nikiona mtoto au nikisikia habari za vifo vya watoto inanikumbusha machungu. Mungu tusaidie wote tuliopitia wakati kama huo tusipite tena si kama tupendavyo bali uypendavyo wewe.
Ombi moja kwa Mtambuzi, naomba kama una uelewa wowote kuhusu Pressure ya ujauzito ( PIH) unipe msaada maana ilikuwa ndo chanzo cha kumkosa mtoto na siku hizi tatizo hili limeondoa kina mama wengi sana.
Naomba kuwasilisha hoja.