Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,080
Kumbe TBC bado inapumua?
Sasa mnajuaje kama wanarusha msiba huo au la?hao hata wangeonesha huku tuliacha muda mrefu kuangalia hiyo tb.
Teeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh eti tunawaonea wivu?kweli maajabu hayatokwisha hapa duniani.Yaani mishahara tuwalipe sisi kwa kupitia kodi zetu alafu tuwaonee wivu?TBC 1 ndo TV namba 1 AFRICA nzima, acheni wivu wa ajabu. Tuna vipindi vingi vizuri na unique ikiwemo CHEREKO na taarifa habari za kina toka ulimwenguni kote.
NB: Wivu umewajaa kwa sababu ya maslahi bora tunayolipwa ndo mnaleta chokochoko!!.
wivu utawamaliza mmoja baada ya mwingine TBSii kiboko yaoTeeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh eti tunawaonea wivu?kweli maajabu hayatokwisha hapa duniani.Yaani mishahara tuwalipe sisi kwa kupitia kodi zetu alafu tuwaonee wivu?
sisi tumejikita katika kuwahi kazini, na kusaini na kudai kuongezewa maslahi siku ya mei mosi, usituulize mambo ya tija kazini. Hayo fanyeni huko huko TBL sijui Voda. Hapa ni kazi tu.Nasikia vyeti feki ndio vimejazana huko sasa sijui atabakia nani huko
Jana kuanzia mida ya saa tisa hivi walikuwa wakionesha ila mahojiano na mwakilishi wao kama jina sijalikosea Mark Mkwame hayakuwa yaliyolenga kutoa majibu kwa Watanzania,Mfano badala ya kujikita zaidi kwenye suala la ajali na nini huenda kilisababisha tatizo la ajali hiyo je tahadhari zipi ziwekwe na kipi tujifunze tusije kumbana na msiba mkubwa wa taifa kama huo,wao walibobea kwenye kuelezea ubora wa shule mara kimkoa ilikuwa yangapi,mara kitaifa ilikuwa ni ya ngapi na kuendelea kusifia sifia tu zaidi kama vile kuipromoti kibiashara na wala sio kuombeleza msiba,ok ,hayo yanaweza yakawa ni moja ya mambo ya kuzungumzia ndani ya ajenda za msingi ila sio kuyapa nafasi yamahojiano kwa asilimia 70 ++++,Kwanza nianze kuwasifu na kuwapongeza CLOUDS MEDIA kwa kuwa na moyo wa kizalendo kwa kusitisha huduma za matangazo ya kawaida kufuatia msiba wa kitaifa tuliopata watanzania.
Pili niwalaumu na kuwashangaa TBC kwa kushindwa kulitambua hilo na kuamua kuendelea na vipindi vyenu kama kawaida.
Hongereni sana kwa kuendelea kupumulia mashine kwenye ufanisi lkn mko no 1 kudai maslahi borasisi tumejikita katika kuwahi kazini, na kusaini na kudai kuongezewa maslahi siku ya mei mosi, usituulize mambo ya tija kazini. Hayo fanyeni huko huko TBL sijui Voda. Hapa ni kazi tu.
Wasomi wanaojiunga na tawala za zama hizi na kubakia na heshima zao za awali ni 'rare species'.TBC hao mimi nimeacha kuwaangalia tangu mwaka ule walipokuwa wanapiga taarabu wakati meli yetu imezama kule Ras Nungwi. Nilitegemea huyu Dr akienda pale atapabadilisha kumbe siyo. Loooh inabidi wawe sensitive na matukio ya kitaifa!!!
Hili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!Clouds media wamesimamisha huduma za kawaida kabisa kabisa na hiyo ni private media
Ndio ukweli mkuu lkn bado kuna watu wapo mbele kutetea haya madhaifuHili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!
POLENI NDO HAYO MNAYOFIKIRI NI MASLAHI AIBUTBC 1 ndo TV namba 1 AFRICA nzima, acheni wivu wa ajabu. Tuna vipindi vingi vizuri na unique ikiwemo CHEREKO na taarifa habari za kina toka ulimwenguni kote.
NB: Wivu umewajaa kwa sababu ya maslahi bora tunayolipwa ndo mnaleta chokochoko!!.
HUJUI MBONA HAWAPO WANASUBRI BUNGE WAJIONESHE WENYEWE SASA LEO HALIKUWEPOTBC sijui wanashida gan!.
MPELAGE HILO. MLIDHANI MMEPATA KUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!