Vifo vya Wanafunzi Arusha: TBC mmetutia Aibu kubwa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
101,449
2,000
Tatizo lenu huwa mnawahi kulalamika bila kujua ratiba za wahusika! mbona wameonyesha TBC kuanzis dss 6:20 mchana?
Ushirikishe ubongo mkuu angalia uzi umepanda saangapi na makomedi yenu huko yalikuwa yana saidia kitu gani?
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,775
2,000
TBC 1 ndo TV namba 1 AFRICA nzima, acheni wivu wa ajabu. Tuna vipindi vingi vizuri na unique ikiwemo CHEREKO na taarifa habari za kina toka ulimwenguni kote.
NB: Wivu umewajaa kwa sababu ya maslahi bora tunayolipwa ndo mnaleta chokochoko!!.
 
Teeeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh eti tunawaonea wivu?kweli maajabu hayatokwisha hapa duniani.Yaani mishahara tuwalipe sisi kwa kupitia kodi zetu alafu tuwaonee wivu?
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,775
2,000
Nasikia vyeti feki ndio vimejazana huko sasa sijui atabakia nani huko
sisi tumejikita katika kuwahi kazini, na kusaini na kudai kuongezewa maslahi siku ya mei mosi, usituulize mambo ya tija kazini. Hayo fanyeni huko huko TBL sijui Voda. Hapa ni kazi tu.
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
10,092
2,000
Nadhani ...issue mpaka fungu litoke waanze ku cover immediate cost ni issue....hela ya serekali inataka kwa tabu jama....sijui kama mnalijua hilo
 
Apr 12, 2017
28
45
Kwanza nianze kuwasifu na kuwapongeza CLOUDS MEDIA kwa kuwa na moyo wa kizalendo kwa kusitisha huduma za matangazo ya kawaida kufuatia msiba wa kitaifa tuliopata watanzania.

Pili niwalaumu na kuwashangaa TBC kwa kushindwa kulitambua hilo na kuamua kuendelea na vipindi vyenu kama kawaida.
Jana kuanzia mida ya saa tisa hivi walikuwa wakionesha ila mahojiano na mwakilishi wao kama jina sijalikosea Mark Mkwame hayakuwa yaliyolenga kutoa majibu kwa Watanzania,Mfano badala ya kujikita zaidi kwenye suala la ajali na nini huenda kilisababisha tatizo la ajali hiyo je tahadhari zipi ziwekwe na kipi tujifunze tusije kumbana na msiba mkubwa wa taifa kama huo,wao walibobea kwenye kuelezea ubora wa shule mara kimkoa ilikuwa yangapi,mara kitaifa ilikuwa ni ya ngapi na kuendelea kusifia sifia tu zaidi kama vile kuipromoti kibiashara na wala sio kuombeleza msiba,ok ,hayo yanaweza yakawa ni moja ya mambo ya kuzungumzia ndani ya ajenda za msingi ila sio kuyapa nafasi yamahojiano kwa asilimia 70 ++++,
Tunaona baadhi ya shule mabasi yao ni yale choka mbaya ilimradi yanajikongoja hata kama yanafuka moshi utafikiri wanachoma nyumba na pia yana rangi ya njano basi,watoto wanarundikwa kama senene wa Bukoba,Hakuna care taker ndani ya basi watoto wanakanyagana ovyo tu,kama mnakumbuka kuna mwaka mmoja hapo nyuma kidogo kuna mtoto alidondoka kupitia dirishani kutoka kwenye skuli basi huko Dar es salaam,alipasuka kichwa na kupoteza uhai,Mikanda ya abiria hayana.
Kifupi walininiboa sana.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
101,449
2,000
sisi tumejikita katika kuwahi kazini, na kusaini na kudai kuongezewa maslahi siku ya mei mosi, usituulize mambo ya tija kazini. Hayo fanyeni huko huko TBL sijui Voda. Hapa ni kazi tu.
Hongereni sana kwa kuendelea kupumulia mashine kwenye ufanisi lkn mko no 1 kudai maslahi bora
 
Sandinistas

JF-Expert Member
Jul 5, 2013
2,336
2,000
TBC hao mimi nimeacha kuwaangalia tangu mwaka ule walipokuwa wanapiga taarabu wakati meli yetu imezama kule Ras Nungwi. Nilitegemea huyu Dr akienda pale atapabadilisha kumbe siyo. Loooh inabidi wawe sensitive na matukio ya kitaifa!!!
Wasomi wanaojiunga na tawala za zama hizi na kubakia na heshima zao za awali ni 'rare species'.
 
Gwamahala

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
3,929
2,000
Clouds media wamesimamisha huduma za kawaida kabisa kabisa na hiyo ni private media
Hili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
101,449
2,000
Hili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!
Ndio ukweli mkuu lkn bado kuna watu wapo mbele kutetea haya madhaifu
 
Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,264
2,000
TBC 1 ndo TV namba 1 AFRICA nzima, acheni wivu wa ajabu. Tuna vipindi vingi vizuri na unique ikiwemo CHEREKO na taarifa habari za kina toka ulimwenguni kote.
NB: Wivu umewajaa kwa sababu ya maslahi bora tunayolipwa ndo mnaleta chokochoko!!.
POLENI NDO HAYO MNAYOFIKIRI NI MASLAHI AIBU
 
Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,264
2,000
Hili ndiyo la msingi, na ndiyo linatufanya tuidharau na kuichukia TBC kabisa! Kwanza inaendeshwa kwa kodi zetu halafu iweje wazidiwe na CLOUDS MEDIA ambao kimsingi wamejitolea kwa siku tatu mpaka kesho Jumanne usiku?!
MPELAGE HILO. MLIDHANI MMEPATA KUMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom