Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Vifo vingine huwa ni majibu ya maombi ya wanaoteseka. Mungu ni fundi mkuu. Mbona inaeleweka kabisa. Furaha tuliyo nayo ni kubwa mno. Hata kama sina kumi mfukoni lakini nikiwa na furaha, uhuru na bila hofu huwa hata kilo zinaongezeka. Hakuna kitu kibaya kama hofu maana inaleta stress na matokeo ya stress ni mabaya mno kiafya.

Asante Mungu kwa kujibu maombi.
 
Ukitawala kimabavu jua kabisa madui unao wengi sana hata wanao kulinda nao wana ndugu ulio waumiza sio kwamba hawaumii kwa matendo yako, siku akijichanganya ndo wanakumaliza
 
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza . Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.

Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.

Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.

Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlfront bila taarifa kamili za kiusalama?

Duh, watanzania tumuombe Mungu.
Tatizo kubwa ni Viongozi kujifanya miungu watu, na kujimilikisha nchi kama mali zao, Hawako kwa ajili ya kuleta maendeleo kwenye nchi zao bali, kushibisha matumbo yao na familia zao, haiwezekani raisi au waziri Mkuu yuko madarakani miaka 20. Na viongozi wa namna hio hawajengi taasisi imara katka nchi bali wanajijenga wao, yani kila kitu ni wao. Wanataka watu wale masikini ili wawadanganye, Tajiri ambaye hana masilahi nao lamia afilisiwe. Huu ni muda wa viongozi hasa wa Africa kujenga taasisi imara kek Nchi zao ili hata wakiondoka Nchi ziwe na Amani na hata familia zao ziishi kwa Amani. wajue Amani ni tunda la Haki na Mungu ndiye muamuzi wa uhai wao.
 
Hahaha mimi ni jiweee,siogopiiiiiiiii,ukinishauri ndio unaharibu kabisa,nikiondoka leo miradi hii itaendelezwa na naniiiiiiiii?

😂😂😂😂 Tz inaendelea na maisha kama kawa na watu hawana hata habari.
Kazi imaendelea ila wewe uko mitandaoni unademka unafikiri kuna kitu utabadilisha?
 
Mabeberu wanawaonea huruma wananchi wanaamua kuwa tanguliza mlobaki mjiongeze
 
Vifo vingine huwa ni majibu ya maombi ya wanaoteseka. Mungu ni fundi mkuu. Mbona inaeleweka kabisa. Furaha tuliyo nayo ni kubwa mbo. Hata kama sina kumi mfukoni lakini nikiwa na furaha, uhuru na bila hofu huwa hata kilo zinaongezeka. Hakuna kitu kibaya kama hofu maana inaleta stress na matokeo ya stress ni mabaya mbo kiafya.

Asante Mungu kwa kujibu maombi.
Thats very true
 
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.

Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.

Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.

Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlfront bila taarifa kamili za kiusalama?

Duh, watanzania tumuombe Mungu.
Mbona humuongelei anaekuhusu?
 
Taga una hasira.
Ninyi mlioshindwa kupiga maisha enzi za Jiwe ndio MNA hasira sana. Tunajua kufuata uwelekeo wa upepo tulidunda kwa Che Nkapa, tulidunda kwa JK, tukatusua kwa Jiwe na sasa tunaangalia upepo wa Mama unaelekea wapi ili twende nao. Wewe baki na hasira za Mkizi. Jiwe, Jiwe! Hukumfanya kitu akiwa hai na HUWEZI kumfanya kitu akiwa Hayati. AND THIS IS A FACT OF LIFE!
 
Ninyi mlioshindwa kupiga maisha enzi za Jiwe ndio MNA hasira sana. Tunajua kufuata uwelekeo wa upepo tulidunda kwa Che Nkapa, tulidunda kwa JK, tukatusua kwa Jiwe na sasa tunaangalia upepo wa Mama unaelekea wapi ili twende nao. Wewe baki na hasira za Mkizi. Jiwe, Jiwe! Hukumfanya kitu akiwa hai na HUWEZI kumfanya kitu akiwa Hayati. AND THIS IS A FACT OF LIFE!
Usijiamini sana mkuu ukajiona wewe ndo mwenye akili. Maisha hugeuka. Leo upo juu kesho upo chini. Usidharau watu ukajiona wewe ndo mjanja. Maisha hayana mshindi. Jifunze kuwa humble,la sivyo maisha yatakufanya kitu mbaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom