Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Tabia za maraisi wa Africa,zinawafanya wawe na maadui wengi wa ndani na nje.Udikteta,kujifanya miungu watu,ufisadi uliopitiliza,kung'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu hata kama miula yao ya kutawala ikiisha,wizi wa kura,kutesa raia wao na maovu mengine mengi.Kwa style hiyo hawawezi achwa kuviziwa kila kona!
 
Inaweza kuwa kweli.
 
Unaweza kuwa raisi hata miaka elfu ni mbinu tu za kuiendesha nchi,lakini kwa serikali za kwetu yanayowamaliza ni wao kujiona wababe wasiowezeka kufanywa lolote,hilo ni kosa kubwa sana,ukishaona unalindwa na mabazoka na msafara uliosheheni tentedi gilasi ,unajiona upo salama,unashindwa kuelewa kwa nini Inzi anasugua miguu mbele na nyuma.
Hii sentensi ya mwisho nimeipenda
 
Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom