Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

mbona mengine umeyaacha!? hatua ya kwanza ku-solve tatizo lako ni kukubali kuwa unatatizo.....

Kuhusu Jerry Springer, google kama rafiki yako ku-ha-ni alivyo google juu ya kazi ya RBs kwenye football!! LOL.

Muda unajipotezea mwenyewe....kibabu kama wewe unatakiwa ku-spend time na wajukuu zako badala ya kubisha upuuzi kutwa kwenye mtandao wa internet.

Nimeyajibu uliyoyaleta. Kama kuna niliyoyaacha, wewe unayenituhumu si ungeyaanika? Watu kama nyinyi ni wanafik kwa sababu mnaishia kuleta innuendos bila kuzi-substantiate.

Wajukuu zangu wanakuhusu nini? Mbona wewe badala ya kukaa na kuniongezea hao wajukuu unashinda humu? Na kumuangalia Jerry Springer! Upuuzi ninaoubishia si huu mnaoleta!

Ni dhahiri kutokana na majibu yako jinsi ulivyo mpenzi wa Jerry Springer.

Wewe ni muongo, mnafik na limbukeni ambaye unadhani kuishi huko unakoishi ndiko kunakufanya bora kuliko wengine wanaochangia humu. Inawezekana umeenda shule lakini haujaelimika.

Do us a favour na usirudi nyumbani. Bakia huko kwa wakina Jerry, Rush na Sean maana hao ndio saizi yako.

Kama nilivyo kwambia awali. Get out of my face.
 
I smell envy. And when i looked in my old dictionary it defines ENVY as as an emotion that "occurs when a person lacks another’s superior quality, achievement, or possession and either desires it or wishes that the other lacked it"

If Mwanakijiji were an ethical journalist, then she should have hold his grandiosity in check and actively works against desensitization in his reporting matters related to Tanzanian politics. He is, in Gandhi's sense, aware that he is dealing with fellow souls who suffer and enjoy like himself and in Freud's sense aware that these are real people, not replays of past power struggles. Even when he exposes wrongdoers(which in the case of Tabora are still unknown), should have looked look for ways to allow his audience to see that these are real people who suffer and enjoy like himself, not merely projections of their fantasies of evil like the ones he has with NSSF.

I happened to be in a journalist school and one of the 9 core principles was "practitioners must be allowed to exercise their personal conscience" as This stimulates the intellectual diversity necessary to understand and accurately cover an increasingly diverse society. It is this diversity of minds and voices, not just numbers, that matters.

Fair point but this doesnt apply in Mwanakijiji's highly unethical and sensational style of reporting events such as those in Tabora which consisted of reporting mere basic details and often included the misrepresentation of facts and ignorance of contextual issues...what a sad state we are in with our "in house journalist"

I have never come across a journalist ethic saying it is a MUST to interview a person face to face, unless the interviwee requests such. In todays e-world one can interview via many methods telephone being one of them. There are so many who were interviewed by phone via KLH Ballali (RIP) being one of them.

And i never said he should interview Dr Dau face to face but i question his motives. He declared Dr Dau was GUILTY then 72 hours after the incident he wants to know Dr Dau's point of view isnt that ironic? And since we know that everything is pervaded by psychodynamics, the key is for our ROTTWEILER JOURNALIST is to sublimate his largely unconscious motives into ethical reporting...but dont expect that anytime soon.

If the interviwee's motives are so clean then why fear the unclean motives of the interviewer? We the listeners will clearly separate water and oil and see from the interview what the motives are,But since the interview was not done we can not conclude saying

You cant be serious! Some of us here in JF kow better and would without the shock value or attention-grabbing interviews that KLH has styled itsef into.

Lets give credit where it deserves and lets critisize where its due like here I know you two have a history of battling but on this I throw my critique for us to be fairly judgemental.

Well Mwanakijiji and KLH news went off the rails when he let money do the talking. And in in the case of his political reporting i would say instead of waiting to be fed by some JF posters,a truly independent journalist would dig up what is really going on in government and expose it to the light of day, routinely, without the fanfare that accompanies MWANAKIJIJI and KLH NEWS reports.

It would expose and help the public understand waste and fraud, along with the manipulations, secret deals, power plays, political and bureaucratic turf wars, influence peddling, career enhancements, expediency, timidity, lack of foresight, errors, disorganization and passing of the buck that interfere with government's ability to properly manage our affairs...butdont expect Mwanakijiji to do any of that as he has missed the boat and being FAIR & BALANCED isnt any of his motives as the NSSF issue is concerned
 
If Mwanakijiji were an ethical journalist, then she should have hold his grandiosity in check and actively works against desensitization in his reporting matters related to Tanzanian politics. He is, in Gandhi's sense, aware that he is dealing with fellow souls who suffer and enjoy like himself and in Freud's sense aware that these are real people, not replays of past power struggles. Even when he exposes wrongdoers(which in the case of Tabora are still unknown), should have looked look for ways to allow his audience to see that these are real people who suffer and enjoy like himself, not merely projections of their fantasies of evil like the ones he has with NSSF.

Fair point but this doesnt apply in Mwanakijiji's highly unethical and sensational style of reporting events such as those in Tabora which consisted of reporting mere basic details and often included the misrepresentation of facts and ignorance of contextual issues...what a sad state we are in with our "in house journalist"

And i never said he should interview Dr Dau face to face but i question his motives. He declared Dr Dau was GUILTY then 72 hours after the incident he wants to know Dr Dau's point of view isnt that ironic? And since we know that everything is pervaded by psychodynamics, the key is for our ROTTWEILER JOURNALIST is to sublimate his largely unconscious motives into ethical reporting...but dont expect that anytime soon.

You cant be serious! Some of us here in JF kow better and would without the shock value or attention-grabbing interviews that KLH has styled itsef into.

Well Mwanakijiji and KLH news went off the rails when he let money do the talking. And in in the case of his political reporting i would say instead of waiting to be fed by some JF posters,a truly independent journalist would dig up what is really going on in government and expose it to the light of day, routinely, without the fanfare that accompanies MWANAKIJIJI and KLH NEWS reports.

It would expose and help the public understand waste and fraud, along with the manipulations, secret deals, power plays, political and bureaucratic turf wars, influence peddling, career enhancements, expediency, timidity, lack of foresight, errors, disorganization and passing of the buck that interfere with government's ability to properly manage our affairs...butdont expect Mwanakijiji to do any of that as he has missed the boat and being FAIR & BALANCED isnt any of his motives as the NSSF issue is concerned

a clear example of absurdity!
 
GT,

I did not respond to this posting trying to side with Mwanakijiji or GT!

I brought a fresh perspective on the issue of Risk Management and what has taken place in Tabora!

I am not siding with anyone on this thread. I am neutral on this despite the fact that the whole thread stinks of personal attacks and malicious insinuations from both you and Mwanakijiji and your followers!

So to call me out that I came out here to do a character assasination is uncalled for and is below the belt punch!

interesting....
 
2007-12-21Gore.jpg
 
MWANAKIJIJI USILAZIMISHE HOJA!!!!TOA HOJA WATU TUJADILI USJE NA SIDES ZAKO HUMU NA UCHADEMA WAKO!!!!
SUALA HILI LIMEUNDIWA TUME ANYWAY!!!!
lAKINI JEURI YAKO YA KUTAKA DR DAU AWAJIBIIKE ILIKUWA YA HALI YA JUU SANA NA CONFIDENCE YA HALI YA JUU KABISA.
MAGARI YAMEGONGANA TARIME NANI AWAJIBIKE?WAZIRI MASHA?AU KAMANDA TOSSI?AU RAIS?AU RO?
 
Quote:
Originally Posted by GAME THEORY

RAIS yuko kimya!
WAZIRI MKUU yuko kimya!
MAKAMO WA RAIS yuko kimya!
MEDIA Tanzania wako kimya!
WAPINZANI wako kimya!
WAZIRI WA ULINZI yuko kimya!
RASHID OTHMAN wa uslama wa Taifa na timu yake nao kimya!
IKULU iko kimya !(majibu yao ni lege lege )
MAMBO YA NDANI iko kimya!
WAZIRI WA UTALII yuko kimya!
WIZARA YA UTALII iko kimya!
KAMPUNI husika iko kimya!

Yaani hiyo ndiyo laana ya Tabora. Hata watoto 20 wanakufa, viongozi wa taifa hata mmoja. Hizo pesa za kujenga mnara heri wapewe wafiwa. Sijui komunisti gani limefikiri upupu huo. Linajua kuwa kujenga mnara basi na yeye atamalizia kibanda chake. Tumekuwa kama jongoo kwa kutupwa na mti wetu. Hivi muwakilishi wa Rais kuwa Kapuya ni sawa? Hawa watu wa Tabora ilibidi waje kama wanakuja kwao. Lipumba hadi leo hajafika. Sitta sijui yuko wapi? Rostam Aziz akha! NA huyu Rage si alikuwa awe mbunge wa Tabora? Kama anapenda watu wake kwa sasa yuko wapi? Au anasubiri mwakani ndiyo aende kugombea tena ubunge? Heri walimuweka ndani wakati wa uchaguzi.
Hata humu JF, watu badala ya kujadili juu ya watoto na what next, watu wanajadli MJJ kakurupuka. Utafikiri asemacho mwana KJJ ni kitu kitakaifu. Hivi mnampenda sana huyu jamaa au ni unafiki tu. Kila akisemacho mnataka kiwe kweli asilimia 100. Mtamchambua hadi jana kala nini. Duu, MKjj, angalia sana. Kupendwa huku si kuzuri maana wanasema chema hakidumu. Sasa mjadala umebadilika hadi kushindwa kujua nini kinaendelea.
Kwa niaba yangu kama mtu wa Tabora, napenda kulaani watu wote wanaotumia MSIBA huu kwa kumaliza GOMVI zao binafsi. Mungu yupo na Mungu mkubwa, siku moja watu watakuja maliza GOMVI zao kwenye misiba ya wanenu. Mbarikiwe na YUSUFELI.
 
Hiyo kuhusus ukimya naona ni mwendeleo wa kutwist mambo KAMA ILIVYO ADA YAKE MWANAKIJIJI

hiyo ilikuwa ni thread sometimes mwaka jana kuhusiana na helicopter ya jeshi iliyoangua up north sasa kuonyesha kuwa unlike hhim mimi sipo biased niliamua kuwa criticise wahusika

Hili la Tabora ni tofauti kwa sababu Rais katoa tamko na wizara husika na tumeambiwa uchunguzi utafanyika lakini Mwanakijiji yeye hiyo haitoshi kwani anataka heads to roll na zaidi ya hayo hakusubiri hata maiti za marehemu kuoshwa au mazishi kufanyika aliamua kuanza kampeni zake ambazo kila mtu amechukulia mtazamo tofauti na mimi kwenye hili mtazamo wangu ulikuwa ni ule wa impartiality na objectivity yake kama mawandishi wa habari wakati wengine waliamua kuangalia angle nyingine na inavyoonekana angle ya UDINI imekuwa ikijirudia rudia sana humu kama ilivyooelezwa na viambatanishi vya ushahidi wa maandihsi ulionyeshwa na YNIM
 
Hapa ndiyo mie sielewi. Hivi Mwana Kijiji ninani? Kwa nini wengine wakianzisha thread watu wanakuwa kimya. Zimeanzishwa za mitihani kule watu akha. Akisema neno MKJJ basi tunalazimishwa wote tusome jnsi alivyo Mkurupukaji kwani hata mwaka jana alisema hivyo. Hii inakuwa kama kwa Michuzi na huyu sijui John Mashaka. Kule siku zote akina dada wanakuja na gia ya kutaka kuolewa naye. Huku ni kumwandama MKJJ. Kwa kufanya hivyo ni kuwa mmemfanya MKJJ awe maarufu mno. Au ndiyo mlikuwa mmepanga? Kama alisubiri au hakusubiri hilo ni lake. Angelilaniwa kwa hilo tu. Sasa haya ya ohh, hata mwaka jana, ohh sijui yule daktari wa moyo, ohh Chadema, ohh Kigazeti chake na kiredio chake............ Hivi nyie mmesubiri maiti waoshwe au na nyie mmemvaa hapohapo? Nashindwa kuona tofauti yenu na yake. Nakupeni HONGERA kwa kumfanya jamaa SUPER STAR wa JF.
 
... "Kwa niaba yangu kama mtu wa Tabora, napenda kulaani watu wote wanaotumia MSIBA huu kwa kumaliza GOMVI zao binafsi. Mungu yupo na Mungu mkubwa, siku moja watu watakuja maliza GOMVI zao kwenye misiba ya wanenu. Mbarikiwe" na YUSUFELI.

umesema kweli tupu hapa
 
Hiyo kuhusus ukimya naona ni mwendeleo wa kutwist mambo KAMA ILIVYO ADA YAKE MWANAKIJIJI

hiyo ilikuwa ni thread sometimes mwaka jana kuhusiana na helicopter ya jeshi iliyoangua up north sasa kuonyesha kuwa unlike hhim mimi sipo biased niliamua kuwa criticise wahusika

Hili la Tabora ni tofauti kwa sababu Rais katoa tamko na wizara husika na tumeambiwa uchunguzi utafanyika lakini Mwanakijiji yeye hiyo haitoshi kwani anataka heads to roll na zaidi ya hayo hakusubiri hata maiti za marehemu kuoshwa au mazishi kufanyika aliamua kuanza kampeni zake ambazo kila mtu amechukulia mtazamo tofauti na mimi kwenye hili mtazamo wangu ulikuwa ni ule wa impartiality na objectivity yake kama mawandishi wa habari wakati wengine waliamua kuangalia angle nyingine na inavyoonekana angle ya UDINI imekuwa ikijirudia rudia sana humu kama ilivyooelezwa na viambatanishi vya ushahidi wa maandihsi ulionyeshwa na YNIM

Na huyu je?

Serikali yashauriwa kujenga kumbi za burudani kwa ajili ya watoto
Na Robert Kakwesi, Tabora (Mwananchi)

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Manispaa ya Tabora kutenga maeneo ya watoto kwa ajili ya burudani mbalimbali.

Mwenyekiti huyo, alitoa kauli hiyo siku chache baada ya watoto 19 kupoteza maisha wakati wakicheza disko siku ya sikukuu ya Idd kwenye ukumbi Bubbles unaomilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioko mjini Tabora.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Tabora, Profesa Lipumba alisema tukio hilo limetoa fundisho kwa viongizi na watu wengine na kwamba watoto wanapaswa kuwa na sehemu za kufurahi na kucheza kama vile kumbi za burudani.

Alisema tukio la vifo vya watoto hao, limeonesha mshikamano bila kujali dini na kwamba maeneo ya watoto kwa ajili ya kuburudika ni muhimu.

Profesa Lipumba alitembelea familia 18, zilizoathirika na aliwataka wazazi waishinikize Serikali ili watoto waweze kujengewa kumbi za burudani zenye sifa na ambazo hazitaweza kusababisha matatizo kama yale yaliotokea kwenye ukumbi wa Bubbles na kusababisha vifo vya watoto 19.

Mwenyekiti huyo, aliitaka NSSF kuweka kumbukumbu ya tukio hilo mkoani Tabora na kuhakikisha watoto wanapata sehemu za kustarehe wakati wa siku za sikukuu.

Profesa Lipumba alisema kutokana na tukio hilo, mikoa mingine nchini inapaswa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya watoto.

Alisema wanaostahili kuwajibika kuwa ni Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Kapuya, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Abeid Mwinyimsa na Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Musa Chang'a.

Alisema Waziri Kapuya alipaswa kuwajibika kwa kuwa wizara yake, ina dhamana na kwamba NSSF nayo inapaswa kuwajibika kwa kuwa ukumbi wake umesababisha maafa hayo na mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya kwa vile janga hilo, lilitokea katika maeneo yao ya uongozi.

Profesa Lipumba naye aliwataka wanasiasa kutotumia msiba huo kujinufaisha na aliwaonya baadhi ya watu walioenda kwenye msiba na nembo za vyama vyao.

Mwenyekiti wa CUF aliwasili mjini Tabora siku ya Jumatatu na kuondoka Jumanne wiki hii baada ya kuonana na uongozi wa Mkoa, Polisi, Hospitali.

My Take:
Aidha Prof. Lipumba anakubaliana na mimi au na yeye amekurupuka. Au kwa vile ni msomi kama "wao" basi anaweza kuwa na point. Vinginevyo kwanini na yeye asitakiwa kusubiri hadi uchunguzi upite.
 
[/COLOR]

...ulonyolonyo mtupu!! subirini uchunguzi ukamilike na sio kutaka misifa na political gains kupitia huu msiba!! ebo! ebu choreni mstari basi, sio kila kitu mnataka ku-score political points...na wakati huo huo, watu kama wewe Mkjj na Mchundo mnaingiza u-dini, chuki na majungu, ili kuwakomoa na kuwaharibia wale mnaowachukia..AIBU.

of course, watu wengi hawana akili kama wewe; sasa Lipumba anaingiza udini kivipi na yeye amesema kile nilichosema mimi? Au kwa sababu fulani hutaki kuamini mtu msomi kama Prof. Ibrahim Lipumba haoni kile ambacho wengine tulikiona the first day?

Kwanini wewe unaiamini hiyo tume ili na sisi wengine utushawishi tuiamini?
 
Spin kama hiyo ya kusema mie nimesema Lipumba kaingiza u-dini ndio zinafanya huu majadala unazidi kuwa mgumu (nadhani unaelewa nasema nini)!! nionyesha niliposema niliposema Lipumba ni m-dini!? maneno nilosema ni haya, "...ulonyolonyo mtupu!! subirini uchunguzi ukamilike na sio kutaka misifa na political gains kupitia huu msiba!! ebo! ebu choreni mstari basi, sio kila kitu mnataka ku-score political points...na wakati huo huo, watu kama wewe Mkjj na Mchundo mnaingiza u-dini, chuki na majungu, ili kuwakomoa na kuwaharibia wale mnaowachukia..AIBU."[/COLOR]... hakuna niliposema Lipumba ni m-dini!! Acha uzushi na spin za kijinga.

Naiamini tume zaidi, kuliko mtu aliyekurupuka masaa machache baada ya janga kutokea ilihali hana infos za kutosha juu ya yale yalojiri!!

Hii kitu unaweza kumeza ego yako na kukubali kuwa ulikurupuka na mada ikajifia, au unaweza kuendelea kukuruka kama kuku anayechinjwa na kuzidi kulikoroga!

Lipumba anaona nini? jamaa ni political opportunist, hii ni nafasi ya yeye kujionyesha kuwa yupo na kupata vi-point vya kisiasa...au hilo nalo wewe hulioni?

acheni hao watoto wapumzike kwa amani..!!

that is what I thought; hukuweza kuona nilichosema na imethibitisha your selective reasoning. Watoto wapumzike vipi kwa amani wakati unatetea ubovu uliosababisha vifo vyao; watapumzika vipi kwa amani wakati unasubiri ripoti ya tume iliyoundwa na mtu aliyeshindwa uongozi na ambaye kwa kuunda hiyo tume amejihakikishia kuwa haiwezi KAMWE kumnyoshea kidole Mkuu wa Mkoa na kama itajaribu basi itakuwa ni kila cha woga!
 
... kila mtu amechukulia mtazamo tofauti na mimi kwenye hili mtazamo wangu ulikuwa ni ule wa impartiality na objectivity yake kama mawandishi wa habari wakati wengine waliamua kuangalia angle nyingine na inavyoonekana angle ya UDINI imekuwa ikijirudia rudia sana humu kama ilivyooelezwa na viambatanishi vya ushahidi wa maandihsi ulionyeshwa na YNIM

Game Theory,

Kwa nini unapenda kutumia hiyo karata rafiki ? Mambo nishai hayo ya udini udini mshikaji. Japokuwa nadhani Mwkjj alikuwa na ma vendetta yake dhidi ya Ndugu Dau, na mizizi yake ni mirefu, mingine tunaijua, lakini udini unakujaje hapa Mkuu ? Mleta hoja huyu kwani huwa hawashambulii wakina Edward Lowassa, na Peter Pinda, na Benjamin Mkapa, na Christopher Mtikila ? Kani huwa hawatetei kina Zhakia Meghji, na Saidi Kubenea na Ibrahim Lipumba na Hamad Rashid Mohamed ?

Yani generation ya mababu na madingi zetu zili transcend udini udini na ukabila halafu sisi wa generation Y, wa globalism era, wa information age ambao ndio labda tungekuwa na utambuzi zaidi wa kuzi bushiti hizi hogwash za udini udini na ukabila kabila ndio sisi tena tuna kuwa worse off ? Nishai hizo mtu wangu. Watoto wamefariki Tabora, nchi nzima imesikitishwa, Waislamu, Mabaniani, Wakristo, na Dini za Kienyeji, halafu mtu kadai fulani ajiuzulu, badala ya kum challenge ki mantiki tunakimbilia kuangalia dini ya aliyeambiwa ajiuzulu ? Noma washikaji, sio zenyewe hizo.
 
Asante Kuhani, laiti wangejua uchungu wa mwana......Lakini hapa JF watu wataendelea kumkoma nyani bila kumwangalia uso - dini, kabila, rangi, jinsia, chama, wadhifa, elimu - vyote kapuni. Wanaokwenda nje ya hapo ni wababaishaji na hawakawii kutukana wenzao wanapokosa hoja.
 
Back
Top Bottom