Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
mbona mengine umeyaacha!? hatua ya kwanza ku-solve tatizo lako ni kukubali kuwa unatatizo.....
Kuhusu Jerry Springer, google kama rafiki yako ku-ha-ni alivyo google juu ya kazi ya RBs kwenye football!! LOL.
Muda unajipotezea mwenyewe....kibabu kama wewe unatakiwa ku-spend time na wajukuu zako badala ya kubisha upuuzi kutwa kwenye mtandao wa internet.
Nimeyajibu uliyoyaleta. Kama kuna niliyoyaacha, wewe unayenituhumu si ungeyaanika? Watu kama nyinyi ni wanafik kwa sababu mnaishia kuleta innuendos bila kuzi-substantiate.
Wajukuu zangu wanakuhusu nini? Mbona wewe badala ya kukaa na kuniongezea hao wajukuu unashinda humu? Na kumuangalia Jerry Springer! Upuuzi ninaoubishia si huu mnaoleta!
Ni dhahiri kutokana na majibu yako jinsi ulivyo mpenzi wa Jerry Springer.
Wewe ni muongo, mnafik na limbukeni ambaye unadhani kuishi huko unakoishi ndiko kunakufanya bora kuliko wengine wanaochangia humu. Inawezekana umeenda shule lakini haujaelimika.
Do us a favour na usirudi nyumbani. Bakia huko kwa wakina Jerry, Rush na Sean maana hao ndio saizi yako.
Kama nilivyo kwambia awali. Get out of my face.