Vifijo na nderemo vya tawala kwenye ngome ya Chadema Mlimani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifijo na nderemo vya tawala kwenye ngome ya Chadema Mlimani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 29, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  baada ya ya post yangu ya vilio na kusaga meno vya tawala ngome ya chadema pale mlimani, kuna watu walidiriki kusema mimi nia yangu ilikuwa mbaya kutoa taarifa ile eti nafurahia watu kukosa haki yao ya kupiga kura. Ukweli ni kuwa post ile ilisaidia sana watu wengi kutoa mawazo yao ya nini kifanyike ili kuwasadia watu wasipoteze haki yao ya kupiga kura. Wengine wenye influence walikwenda mpaka tume ya uchaguzi ili itoe taarifa sahihi kwa wa piga kura. Hivi ninavyoandika kwenye mbao za majina limebandikwa tangazo linalowataarifu watu kuwa kama ulipigia kura Nkuruma na jina hulioni, basi nenda kwenye kituo cha shuleni au Kafteria huko utalikuta, kitu ambacho hapo awali hakikufanyika. Watu wengi ambao walianza kukata tamaa kuwa ndoto zao za kuleta tumaini jipya zimepotea hivi sasa wanashangilia baada ya kuyakuta majina kwenye vituo vingine.

  pendekezo: tuhakikishe na kwenye vituo vingine taarifa za wapi majina yanaweza kupatikana zibandikwe (kama hazijabandikwa) kwenye vituo hivyo ili kuwarahisishia watu utafutaji wa majina
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Tunajuwa wewe CHEDEMA Bllod in Blood out!! Nimekugongea Thanx hapo juu!!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,608
  Trophy Points: 280
  A light at the end of the tunnel.....................
   
 4. P

  Pax JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  umefanya vyema songa mbele na kazi yako nzuri, usisahau kuwashawishi watu wako wa karibu kumpeleka Slaa Ikulu. Good work
   
 5. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  safi sana
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Big thanx
   
Loading...