vifaru na mashine za vita kenya zilikuwa zinaenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vifaru na mashine za vita kenya zilikuwa zinaenda wapi?

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mwana wa Mungu, Feb 25, 2009.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ati jamani, wakati mwingi nasoma blog za wakenya. lakini hadi sasa sijaelewa vile vifaru walivyoshusha wakenya hapa juzi, vile vilivyotoka Ukrain, vilivyokuwa vimetekwa na majangili baharini, vilikuwa vinapekelwa wapi?

  kuna wengine wanasema vilikuwa vinapelewa Southern Sudan, wengine wanasema vilikuwa kujilinda na fujo za kikenya, wengine wanasema wanajiandaa kupigania kisiwa cha migido kilichopi ziwa victoria ambacho uganda wanataka kukinyang'anya, na wengine wanasema zilikuwa za ulinzi tu wa nchi.

  Jibu ni lipi? na je, hicho kisiwa wanagombania nini hawa wapenda EAC na federation? wameanza mapema hivi hata wakati hatujaingia, mu7 ananyang'anya kisiwa....hahaha, na je, hivi Kenya ina asilimia ngapi kwenye ziwa victoria, si sehemu ndogo sana.

  Mwisho, napenda kuwapongeza Wakenya, kuwa na nafasi ndogo sana kwenye ziwa victoria, lakini wanaoognoza kuprocess samaki wa ziwa hilo, kuwazidi watz na uganda wanaomiliki sehemu kubwa zaidi ya ziwa. Pamoja na kwamba, kilio kikubwa cha wakenya ni kwamba, watanzania na waganda wamekuwa wakiwaarrest fishermen wa Kenya wanapovuka mipaka kuja kuvua bila kulinda mazalia ya samaki kwenye maeneo ya Watanzania na waganda.
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiki ndicho kisiwa ambacho wakenya wamekoroma vibaya mno, wanawakoromea waganda ati wagandwa wanawanyan'ganya. nimeamini ardhi ni mali kubwa kule kenya....kisiwa kidogoooo.

  [​IMG]

  wameongea kwenye blog zao hadi wamechoka, hadi wamecompare nguvu za kijeshi za nchi yao na uganda. wengi wao wanasema ati kenya ina nguvu kuliko Uganda na tz. wengine wanapenda vile vifaru vilivyoshushwa juzi viende huko. inashangaza kuwa kisiwa chenyewe ndio hicho hapo. hadi watu wanafikia kulinganishana nguvu za kivita. pamoja na kwamba kama tungeangalia huko, uganda ina nguvu sana. na ina wanajeshi 50,000, wakati kenya wana wanajeshi hata 30,000 hawajafika, tz ni kama 30,000. not exactly. sisi wa east africa kupigana sio vizuri, lakini hiki kisiwa kimeweka tension kubwa sana kwa hawa wenzetu. swali, TZ TUWE MAKINI KWENYE MIPAKA YA KENYA. kenya wanajua kuwa wana asilimia 6% tu ya ziwa victoria, wanavua sana samaki kuliko nchi hizi tatu hata hivyo, na wanalitumia vilivyo, hivyo, ni rahisi hata sisi kuibiwa visiwa vingine kama hatutakuwa makini kule mipakani na kenya. ni vizuri doria za tz ziendelee na ziwe makini.
   
 3. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Soma habari kwanza mkuu, usikimbilie kunadika tu, kwanza Uganda ndo wamepeleka majeshi yao kwenye kisiwa, wala si wakenya, serikali ya kenya yangoja "to send delegations to Kampala over the dispute".

  Sasa kusingizia Kenya si sawa infact wao ndio wamehandle hii isue diplomatically, sasa given kunao wanaongea sana kwenye ma blog na kwingineko lakini hao si Kenya ni wakenya wachache tu.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  katika maswala ya mahusiano ya kimataifa, kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuonekana madogo kwa juu lakini yakapewa na umuhimu mkubwa.

  Hapa mgogoro ni mkubwa kuliko kisiwa, ni kuhusu nani ana kifua kikubwa, ni kuhusu nani hawezi kurudi nyuma, ni kuhusu nani anaweza kuweka precedent kwa madai ya baadaye, na kadhalika.

  Kwa hiyo kuuangalia mgogoro huu kama wa kisiwa hiki kidogo tu kutakuwa kunaikosa ile picha kubwa.
   
 5. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaagh,

  inakuwaje migogoro ianze au iendelee wakati ndo kwanza kuwa pamoja zaid kunapata kasi kama ujenzi wa makao ya east afrika community kule arusha?

  kuonyeshana vifua, kuonyeshana nani hawezi kurud nyuma, na nk inahitajika leo hii kwa nchi ambazo zinataka 'kuungana'?

  kwanza watu wenyewe wanasumbuliwa na njaa. badala ya kuweka maguvu kupigana na njaa wanaenda kununua vifaru. au ndo %s za wakubwa?
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mwana wa Mungu, udogo wa kisiwa sio hoja, hapo kama kweli hicho kisiwa ni cha Kenya na wakakubali Uganda wakichukue, kumbuka na mipaka pia itaathirika na kupunguza eneo la ziwa upande wa Kenya.

  Tukija kuwa wanavua sana kuliko TZ na UG yawezekana, wakati sisi tunapiga usingizi, wanavuna rasilimali zetu hata kwa kuvuka mipaka. Niliwahi shuhudia magari yalikuwa yanavusha Sato na Sangara toka TZ kwenda Kenya kupitia mpaka wa Sirari/Isebania na ule mpaka mwingine uko Shirati. Hivyo kama walikuwa wanaweza kuuza Tanzanite iliyotoka Mererani na kuingizwa kwao, kwanini washindwe kupata samaki toka TZ na UG?.

  Kuhusu vifaru upo uwezekano vilikuwa vinaenda Sudan ya Kusini, Kenya hawawezi kubali hilo wakati wao ni wasuluhishi.
   
 7. M

  Mkenya Member

  #7
  Mar 5, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 51
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15

  Mfumwa,

  Migingo islands are in Kenya, check google earth Hapa
   
  Last edited: Mar 5, 2009
 8. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  kichapo kinawaxubir
   
 9. MK254

  MK254 JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2016
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 9,379
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  Huwa unalipwa kutibua hizi mada zilizopitwa na wakati???
   
 10. p

  pingli-nywee JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 2,181
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Hawa ni wale wakiona gazeti hata ile ya zamani wanaisoma tu kama 'breaking news' vile.Afu wanatembea mitaani na 'confidence' wazimu wakipigia wenzao stori za ajab eti jinsi ndege ya malaysia ilipotea ikiwa angani jana.Ole wako ukijaribu tu kuleta ubishi!
   
 11. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  ww unalipwa kuichafua tz?
   
 12. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  kimya mungiki
   
 13. MK254

  MK254 JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2016
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 9,379
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  Naona ulichoka kwa mahubiri yako ya kuwahimiza Wakenya wawaige nyie kwa kuchamba kwa vidole na maji.
   
 14. Quickly

  Quickly JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2016
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 1,056
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  teh teh teh yaani nikisoma comments za toka 2009,nafa tu kicheko, yaani uozo ni ule ule tu, licha ya muda uliopita. Majanga tupu. Hivi wakenya nauliza : nani katupa 6% ya L. Victoria? Kwa nini watu walalamike tunapowazidi kwa viwanda vya samaki?? It's all about the quality, not the size....
   
 15. MK254

  MK254 JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2016
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 9,379
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh! Mijitu kutwa kulalamika kuhusu hiki, kuhusu kile, wakati sisi tunatumia vizuri kidogo tulichonacho lakini tunatawala ukanda huu wote.
   
 16. p

  pingli-nywee JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 2,181
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  We mateja wa panya road naona ume'improve' sana siku hizi uliacha zile habari zako za kinyesi na kuchamba eeh!
   
 17. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  jaman mungiki unafahari kutembea huku unanuka mavi!!
   
 18. p

  pingli-nywee JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2016
  Joined: Sep 16, 2015
  Messages: 2,181
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Endelea kujichokonoa huko nyuma kwa vidole,hakuna aliyekukataza,kwa raha zako aisee!
   
 19. mwaswast

  mwaswast JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2016
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 2,376
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Tupe picha kubwa Kiranga
   
Loading...