Vifaranga vya kuku kuchi, bata aina ya pekin, Bata mzinga , Bata maji , bata bukin Na Indian Runner wanapatikana

makaptula

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
200
66
Tunauza vifaranga vya kanga , bata mzinga na kuchi pamoja na mayai.
1: Vifaranga bats mzima cha mwenzi mmoja Tsh 20,000
2:Vifaranga kanga mwenzi Tsh 3,000
3: Vifaranga kuchi mwenzi Tsh 10,000
1a: Mayai ya bata mzinga trei 120,000
2b: Mayai kanga Trei 30,000
3b: Mayai kuchi trei Tsh 120,000

Tunapatikana Pongwe Tanga Tanzania
Number za sim 0762355114
 
Mkuu number yako inasema imezuiliwa sasa tunakutafutaje?tunahitaji bidhaa ulizozitangaza
 
Kuna kitu huwa sielewi .... Hivi kutaja bei ya kitu unachouza ...kwanini huwa inakuwa shida kwa wauzaji wa mitandaoni hapa Tanzania......kwanini watu wasiweke bei kwenye vitu wanavyouza na mtu akupigie simu akiona hiii bei naiweza au siiwezi... Kuliko kusumbuliwa kwenye simu na mtu anakuuliza bei tuu!!!
 
Kuna kitu huwa sielewi .... Hivi kutaja bei ya kitu unachouza ...kwanini huwa inakuwa shida kwa wauzaji wa mitandaoni hapa Tanzania......kwanini watu wasiweke bei kwenye vitu wanavyouza na mtu akupigie simu akiona hiii bei naiweza au siiwezi... Kuliko kusumbuliwa kwenye simu na mtu anakuuliza bei tuu!!!
Mkubwa uko sawa sawa kabisa. Lakini inategemeana na bizaa zenyewe. Kwa mfano ukianza na kuchi kuhusu bei inategemeana na ubora wa kuku mwenyewe.
So ni vyema kama mtu yuko interested then anatumiwa picha za koo za kuchi na bei zake.
Vile vile kwa bata , hapo kuna bata wa koo mbali mbali.
And kwani broo ukienda kwenye maduka ya nguo ya ni yote huwa yanabandika bei? Au ukifika ukiona then unasema naitaji hii wauza bei gani then mnapatana mnamalizana.
Sioni shida sana.
But price list itatumwa ikiambatana na picha. Worry not and thanks for your advice
 
Ungeweka picha ingekua bora zaidi ili kuvutia wateja, hasa picha za hao bata. Maana sisi wengine hata hizo aina hatuzijui.

Naamini bata hawana UBORA kama ilivyo kwa kuchi. Hivyo ungeambatanisha na bei zao pia.
 
Wamekushauri wengi kuna vitu uzingatie. Mimi nakushauri yafuatayo. Kwa mnunuzi makini hatakutumia tuu hela umtumie wakati hajahakiki ni kitu cha namna gani anatumiwa. Lazima ajue records za chanjo na matibabu za hao ndege wako. Umri wa ndege husika na uzito wake. Picha za mazingira ya unapofugia
 
Mkuu weka Bei ya kila Aina ya bidhaa(ndege) kwa kila umri, weka taarifa za chanjo pia.

Weka picha zao pia.
Seeing is believing.
 
Back
Top Bottom