Vifaranga mbegu ya malawi na australia bei poa

mama kokuu

Senior Member
Oct 11, 2012
131
22
karibuni nyote nauza vifaranga mbegu ya australia na malawi wale kuku wakubwa sana,kifaranga kimoja ni 2000.Ni rahisi kuwafuga na maelezo mazuri nitakupa kuwakinga na maradhi na vyakula vizuri vya kuwakuza haraka.Karibuni sana




SUCCESS IS ACHIEVED BY THOSE WHO TRY
 
Napatikana temeke namba yangu ni 0712 419 419 unapata wa cku 1 had 3 mwisho ndo kwa bei hiyo karibu sn.
 
usalama wa afya zetu vipi...hao kuku wakukua kwa madawa na sindano kwa wiki4, au ndo kilakitu biashara kwanza zama hizi.
 
Ni kuku wa kienyeji ndugu yangu mayai yanatagwa na kuku na yanatotoleshwa na ukuaji ni kuku wa kienyeji
 
Ni kuku wa kienyeji ndugu yangu mayai yanatagwa na kuku na yanatotoleshwa na ukuaji ni kuku wa kienyeji miezi mi5 had 6
 
Back
Top Bottom