Vifahamu viwanja vilivyoandaliwa na Urusi kwa ajili ya World Cup 2018. Tutafika kweli?

Hivyo viwanja vinaendana na Hadhi ya mchezaji bora wa dunia mara nyingi kuzidi mchezaji yoyote. Tunamuombea kila la heri pamoja na timu yake na mastaa wenzake wafanye vizuri,,,dunia inatamani sana kuona timu hiyo ikinyanyua ndoo.binafsi itapendeza mno mno,,, Tunasubiri kwa hamu hiyo siku.
 
Kwanini kiwanja kimoja wamekipeleka Lithuania?
Sio Lithuania huko ni enclave ya Urusi inaitwa Kaliningrad. Enclave ni sehemu ya nchi flani ambayo imezungukwa na nchi nyingine (haijaunganika kijiografia na nchi husika).
Hapa Afrika kwa mfano kuna eneo la Angola ambalo liko Kongo (DRC) lakini ni eneo la Angola.
 
Ulaya ndo mama yao we
Ulaya ni mastaa 2
Hivi umeviona viwanja vya Saudi Arabia,UAE,China,Qatar,Japan etc
Viwanja ka ndege,viwanja below the ocean surface
Hata hivyo vya Russia tu kuna vingine vipo ulaya na vingine Asia
Wasia ni hatari
 
Ukichunguza vizuri vitu vingi Asia vinadesigniwa na kujengwa na makampuni ya Ulaya. Ndio wenye teknolojia. Waasia ni pesa tu.
Wewe Europe unaijua ww? UK, France, The Bundesrepublik Deutschland (Germany), Italy, Russia....Spain!
 
Putin ni nomaa

Bongo viwanja karibia výote vinamilikiwa na chama na hawana mpango endelevu navyo
Hii dhana ya chama kujimilikisha viwanja siipendi basi tu
Serikali ingetaifisha viwe viwanja vya serikali tu sio chama fulani
 
Ukichunguza vizuri vitu vingi Asia vinadesigniwa na kujengwa na makampuni ya Ulaya.
Wewe Europe unaijua ww? UK, France, The Bundesrepublik Deutschland (Germany), Italy, Russia....Spain!
Ww hujui kuwa soka la ulaya linategemea sana watu wa Asia
Angalia tu wadhamini Fly Emirates,Qatar airways, Rakuten etc
Wamiliki wa klabu-:unaelewa jeuri ya man city, Paris inatoka wapi?
Chelsea ile tu Abramovich mtu wa Asia bado ac Milan wanaanza kuja juu sababu ya wasia
We hapo unafikiri wasia wenyewe kwenye uwekezaji wa michezo wakoje?
Waulize wachezaji wanaolipwa pesa ya kawaida ulaya wakienda Asia wanalipwaje
Don't play with Asians kaa mbali
Hayo cjui Britain yalishapita hayo
Ngoja sasa utaona viwanja vya Qatar world cup 2022
 
Asa unategemea umpeleke mbongo kwenye majaribio kwenye viwanja kama hivyo alafu utegemee afauluu....maishaaaaa hawatowezaa....watabaki kivishangaa tuu!
 
Duuu, eti vyetu vya Kambarage, Ilulu, Samora, Jamhuri na shamba la bibi.... Mazoezi ya jeshi humohumo, mbio za mwenge fiesta Ila tutafika tu
 
Ww hujui kuwa soka la ulaya linategemea sana watu wa Asia
Angalia tu wadhamini Fly Emirates,Qatar airways, Rakuten etc
Wamiliki wa klabu-:unaelewa jeuri ya man city, Paris inatoka wapi?
Chelsea ile tu Abramovich mtu wa Asia bado ac Milan wanaanza kuja juu sababu ya wasia
We hapo unafikiri wasia wenyewe kwenye uwekezaji wa michezo wakoje?
Waulize wachezaji wanaolipwa pesa ya kawaida ulaya wakienda Asia wanalipwaje
Don't play with Asians kaa mbali
Hayo cjui Britain yalishapita hayo
Ngoja sasa utaona viwanja vya Qatar world cup 2022
Ndio maana nikasema waarabu ni hela tu ndo wanayo. Hivyo viwanja vya Qatar unafikiri vilibuniwa na kujengwa na makampuni ya Qatar?
Hapo utakuta mbunifu ni kampuni ya UK alafu mjenzi ni kampuni ya Ujerumani. Qatar wanatoa $$$$ tu.
 
Back
Top Bottom