Kwan tunaend wap mpk usem ttafka kwel1 / 12
Luzhniki Stadium
2 / 12
Spartak Stadium
3 / 12
Krestovsky Stadium
4 / 12
Fisht Olympic Stadium
5 / 12
Kazan Arena
6 / 12
Yekaterinburg Stadium
7 / 12
Nizhny Novgorod Stadium
8 / 12
Cosmos Arena
9 / 12
Rostov Arena
10 / 12
Kaliningrad Stadium
11 / 12
Mordovia Stadium
12 / 12
Volgograd Arena
Huo ndo utetezi wetu mkubwa.Hiz nch ni tajir sana,hvyo viwanja kwao ni sawa na kujenga nyumba tuu bongo,ni sawa na ushangae bakhresa ajenge nyumba.bongo hatuwez fika hyo level labda miaka 900 itapendeza
Nliskia kuna mpango wa Afrika Mashariki kuomba kuandaa World Cup 2030. Sijui itakuwaje yaani haha. Ukiachana hata na viwanja, kuna hoteli zetu substandard, mifumo ya usafiri substandard, umeme substandard yaani kila kitu ni chini ya viwango!Dah! Ulaya ulaya tu aisee. Bongo bahati mbaya
Wananchi walijenga kwa tuteni,, afu chama kikamiliki nakudai n vyake,,,Putin ni nomaa
Bongo viwanja karibia výote vinamilikiwa na chama na hawana mpango endelevu navyo
Uwekeze mabilion kwa turn out gan,waty wenyew wapenda mipira wanategemea kuingia uwanjan bure,..viingilio vya buk 5 ndo virudishe hzo gharama za ujenz,haiwezekan,.tuendelee kuona vya wenzetu tuu,waafrica hatutak kubal kua tuko nyuma ya hawa jamaa miaka 600,lets do kilimo,na mambo basic,hayo mengne ya intertainment bado hatujafika hukoHuo ndo utetezi wetu mkubwa.
Sisi masikinii
Wao matajiri.
Sawa je mmetafuta wawekezaji wawekeze kwenye viwanja? Au unafikiri viwanja vyote hivyo ni vya serikali!?
Tayari mkuu. Ramani hii hapaMleta mada ungetaja na miji viwanja vilipo. Unajua baadhi ya miji ya Russia watu wengi hatuijui zaidi ya Moscow St Petersburg na sochi. Ungeweka jina la kiwanja unataja na mji kilipo.
Kuna taarifa england watasafiri zaidi ya km 9800 wakiwa kwenye mashindano hayo.
Dah! Ulaya ulaya tu aisee. Bongo bahati mbaya
Dr Shika anahaki kuwa anajifungia mwenyewe tu chumbani kama kweli aliishi huko maana huenda alikua anahisi kama yuko maporini hapa bongo