vifaa ya car wash na dsk top computer

vicent01

Senior Member
Nov 18, 2018
100
93
habari waheshimiwa
nauza vifaa ivi, presure machine pamoja na tank na vifaa vingine vidogo vidogo pia vipo katika car wash ambapo bado inaendelea kufanya kaz na kuingiza hela tatzo na shida na pei za fasta car wash ipo mwembehanga(dsm) barabarani kabisa kuelekea njia ya vetenary,bei ni laki tano(500000) kwa tank pressure na tank la lita 1000,pia ukitaka na car wash ni laki 6 unaleta mtu wako anaendelea kupiga hela kod inaisha mwez wa 11....

pia nauza hp desk top ina ram 4gb na hdd 80,screen nch 19, pia nakupa na wireses card ambayo unaconect na simu na kupata net murua.price ni lak 2
ukichukua vyote nakupa kwa lak 6 na nusu..nipo temeke dsm ilipo ospitali ya temeke...call 0718163740.

sorry simu yangu camera sio nzuri
 

Attachments

  • IMG_20190907_165637.jpg
    IMG_20190907_165637.jpg
    54.1 KB · Views: 41
  • IMG_20190907_165725.jpg
    IMG_20190907_165725.jpg
    46.8 KB · Views: 41
  • IMG_20190907_165736.jpg
    IMG_20190907_165736.jpg
    40 KB · Views: 43
  • IMG_20100101_030226.jpg
    IMG_20100101_030226.jpg
    62 KB · Views: 45
  • IMG_20100101_030242.jpg
    IMG_20100101_030242.jpg
    88.4 KB · Views: 42
Kodi kwa mwezi.sh ngap??
So kila kitu na eneo sh ngap jumla bila desktop?

Swali la kizushi.Unahitaji pesa ya haraka au eneo Halina biashara mkuu??
 
Kodi kwa mwezi.sh ngap??
So kila kitu na eneo sh ngap jumla bila desktop?

Swali la kizushi.Unahitaji pesa ya haraka au eneo Halina biashara mkuu??
nop ndo mana nikasema nauza peke ake hata bila eneo,sehmu inabiashara japo sio sana (Kusema kwel zuri sana tatzo kodi kubwa 80000, bila dektop ukilipa 450000 flesh nakupa na pale pana miez miwil mbele
 
Kwa makadirio ya chini ya kabisa, unaeza ukalaza sh. ngpi kwa siku, kwnye car wash mkuu??
 
Kwa makadirio ya chini ya kabisa, unaeza ukalaza sh. ngpi kwa siku, kwnye car wash mkuu??
kuna siku ngumu mbili ambazo ni j4 na j5 ila siku zingine unaweza laza 15-20 baada ya kumpa dogo sema sehm yenyew saiv ina miez m4 toka nimechukua (na shida yangu ni ya siku mbili tu nikiweza kusolve basi sitouza mana nimetingwa ndugu0
 
Daah hii Carwash naijua nilipita nagari sikumoja nikaiuona...ila ngoja nifanye kitu.
 
Back
Top Bottom