Elections 2010 Vifaa vyote vya uchaguzi mkuu tayari kasoro kimoja

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
 
Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai?
 
Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie!
 
hehehehe hoja butu hii.
utachapishaje karatasi za kura ilhali hakuna aliyependekezwa ama kuomba kuchaguliwa?
 
Mimi navyofikiri mambo mengi yanatakiwa yawe tayari on desk. Kuwe na kumalizia yale yanayohitaji kwa mfano mpaka wagombea wawe wameidhinishwa!
 
Back
Top Bottom