Nahitaji Vifaa vya Ujenzi

napenda kujua bei za marine board na nondo mm 12 kwa kipindi hiki. na wapi naweza kuzipata kwa urahisi
 
Na mimi kidogo nina kaproject kama kako, hila kama wenzangu walivyo zungumza humu nondo zinauzwa kwa tani bila kujali size yake, na nondo nyigi nzuri zinatoka nje hasa Uturuki, Malyasia, Africa Kusini hakuna nondo zinazo toka Urusi wale warusi pale TABATA nondo wanazo huza zinatoka Uturuki na bei zake kwa tani na kama walivyo quote wenzangu, hila mimi nilkuwa nataka kukupa ushauri kwamba kwa unafuu wa bei kanunue nondo katika kiwanda cha wahindi opposite na Kioo limited, nondo zao zinatengenezwa kutokana na billets kutoka nje kwa hiyo ni za kiwango cha hali ya juu sana na demand yake hapa nchini ni kubwa kwa sasa hivi wamesimamisha kidogo kutokana na kusubili mali ghafi kutoka nje.

Kuhusu kokoto mimi natumia kokote ngumu kama mawe na siyo ubuyu, au za kutoka msolwa au nini. Hizi za msolwa packing density yake ni kubwa sana na sidhani unahitaji kitu kama hicho kwenye ujenzi wako, nyenzo nyingine za ujenzi zinapatikana kirahisi tu.
Mh. Bukyanagandi hiki kiwanda cha wahindi opposite na Kioo limited ni kiwanda gani Steel Masters? au kamal steel?
 
Back
Top Bottom