Natafuta vifaa vya uandishi wa habari kwa ajili ya kufanya shughuli za uandishi wa habari binafsi

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,111
27,093
Habari zenu wakuu. Ninatafuta vifaa vya uandishi wa habari kwa ajili ya kufanya shughuli za uandishi wa habari binafsi " Private Journalism". Ninataka kuwa na vifaa kama camera( still pics), video camera, pamoja Sound Recorder, zile zinazo tumiwa na waaandishi wa habari ambazo unaweza ukafanya mahojiano na mtu na kurekodi sauti vizuri. Naomba mnisaidie ni wapi ninaweza kupata vifaa hivi? hususani Sound Recorder?. Nimeenda mlimani City na sapna but zilizozopo ni vile vidogo. Please msaada wako tafadhali.
 
Back
Top Bottom