Kwetu kaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 546
- 402
Makonda hatuna leseni ila tunaaminiwa na bosi
Mkulu na bashite lao moja wote hawalipi kodiTatizo la yule jamaa hata kama ikibainika kwamba anamakosa si ajabu kusikia akiambiwa "Makonda piga kazi..!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa wakati gari litakapokuwa limepata pancha 😂
Ukiangalia hata aina ya hivyo vifaa ni shule gani ya serikali inatumia vifaa vya anasa hivyo? Kwanini wasitume pesa vifaa vinunuliwe Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata walimu nao wanataka kuzunguka kwenye viti vyao wakati wakifundisha.
BL inasemaje? jumla ya makontena ni 20 au 36?Taarifa zinasema Makonda aliingiza makontena 36, kati ya hayo 16 yalishatolewa yakabaki 20 bandarini.
Kama kweli yalikuwa na vifaa vya shule, ni shule zipi za Dar es salaam ambazo tayari zimeshapata mgawo wa vifaa hivyo kutoka kwa yale makontena 16 aliyotoa mwanzo.
Kwa anavyopenda kamera lazima habari za kugawa zingetangazwa na vyombo vya habari, labda mimi sikusikia, kwa aliye na taarifa, picha au clip ikionyesha Makonda akikabidhi vifaa hivyo atuwekee hapa.
Watetezi wake mnakaribishwa.
View attachment 850654
View attachment 850655
Mwanza sehemu gani?Nenda Mwanza kuna Hoteli yake utazikuta
Heeeee yalikuwa makontena 36 sio 20 kama tujuavyo. Kweli nchii hii. haya bana ndo wakati waoTaarifa zinasema Makonda aliingiza makontena 36, kati ya hayo 16 yalishatolewa yakabaki 20 bandarini.
Kama kweli yalikuwa na vifaa vya shule, ni shule zipi za Dar es salaam ambazo tayari zimeshapata mgawo wa vifaa hivyo kutoka kwa yale makontena 16 aliyotoa mwanzo.
Kwa anavyopenda kamera lazima habari za kugawa zingetangazwa na vyombo vya habari, labda mimi sikusikia, kwa aliye na taarifa, picha au clip ikionyesha Makonda akikabidhi vifaa hivyo atuwekee hapa.
Watetezi wake mnakaribishwa.
View attachment 850654
View attachment 850655
Big up Mkuu una hoja fikirishi sana, kuna maswali mengi ya kujiulizia ndani ya kitu hiki, kama kungekuwa na usawa investigation ingefanyika kila kitu kingekuwa wazi.Makontena yapo 36 lkn ambayo yameshafika ni 20 bado makontena 16. Me nilielewa hivyoo!! Lkn ktk hili sakata lipo jambo muhimu sana linaachwa,hivi kweli hizi samani zimetolewa na diaspora!?? Na makonda aliandika lini hiyo proposal ya kuomba huo msaada!?? Je! Watendaji ktk ofisi yake nao wanafahamu kuhusu hilo!??