Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Hivi tz hii ni site ipi unayoweza kusearch kupata kifaa cha gari lako unachokiitaji online? Msaada mwenye idea
 
Mkuu bface yanini kuingia online ilhali tupo tunaofanya biashara hizo Tanzania?uliza unachotaka tukusaidie.
 
Last edited by a moderator:
Ndani au nje?nje 50,000/=


Ndani 40,000/= used,vya ndani vipo vipya vya kichina sio imara vinauzwa 30/25,000/= Dotto4r
 
Last edited by a moderator:
nahitaji gia box ya toyota hilux engene 3y manual injection kama unayo hata kama ni used fasta ni pm tufanye bizness
 
Back
Top Bottom