Vifaa vya kufyatua matofali-wapi vinauzwa na bei zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa vya kufyatua matofali-wapi vinauzwa na bei zake

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kimeo, Oct 25, 2011.

 1. K

  Kimeo Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wakubwa ,nataka nianzishe ka mradi ka matofali.naombeni mnijuze vifaa vifuatavyo vinapatikana wapi pamoja na bei elekezi.
  1.mashine ya kufyatulia tofali(two in one) ya umeme
  2.mashine ya kuchanganyia udongo(ya umeme or motor)
  naombeni mnifahamishe ili niweze kutengeneza makadirio pamoja na kununua.
   
 2. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ongea na simu hii 0713-656496. Mwenye simu anaitwa Moshi. Wako Mwenge Dar. Watakusaidia sana. Mashine zote wanazo mpaka Mixer.
   
 3. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ukishaonea naye weka gharama zake hallisi bila 10 % hapa jamvini ili na cc tuishauri sakosi yetu iplan huu mradi
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  wazo zuri,
  saccos kuwekeza ktk Real Estate.Je mtatoa discounts kwa members wa saccos yenu
   
 5. K

  Kimeo Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nimekusoma mkuu
   
 6. nalo neno

  nalo neno JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2014
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kimeo mbona kimya au hukufanya tena hili jambo!
   
Loading...