Vifaa vya kufanyia grafting vinapatikana wapi?

No_Worries

Member
Sep 27, 2016
69
23
Wakuu,

Tafadhali kama unajua vifaa kwa ajili ya ku-graft miti michanga ya maembe/parachichi vinapatikana wapi hata nchini Tanzania basi fanya uungwana wa kunitaarifu.

Nimekuwa nikisoma/ kuangalia mtandaoni namna ya ku-graft nimeona kuwa ni kazi ninayoweza kuifanya mwenyewe na kupata miti kadhaa kwa ajili ya matunda, shida sijui vile visu vya grafting, pruning shears na tapes kwa ajili ya kuzungushia zinauzwa wapi! Ama ni vifaa gani mbadala huwa vinatumika?

grafting_tape1.jpg
1SP4104448-5-d472e1af53ed407ab23d576d05803bdc.jpg
fSLmp.jpg
grafting_tape2.jpg
 
Siyo lazima utumie visu kama hivyo kwenye picha,Unaweza tumia kisu chochote kikali,chembamba.

Vile vile unaweza tumia nylon nyembamba ukaizungushia kama tape juu ukafunika na mfuko wa plastic kama kwa wiki mbili.
 
Wow! hili naweza hakika kulijaribu! Shukrani kiongozi!
 
Back
Top Bottom