Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,145
- 13,216
Miongoni mwa wachezaji ambao wameonekana kuwa tishio sana kikosini Simba pale Kinesi kwa sasa ni pamoja na;
Nawakaribisha sana pale Kinesi mjionee hazina ya Taifa toka kiwanda cha uzalishaji wa wachezaji
- Sino Augustino kutoka Prison ya Mbeya, huyu ana wajihi kama wa Ngassa ilala yeye ana mwili kdg lakn amenivutia sana kwa jinsi alivyo na skills na stamina
- Twaha Omar kutoka Coastal Union; ukisikia Messi wa Tatu huyu ni mmojawapo, ni mwepesi sana na anajua mpira
- Baba Ubaya, Ngassa aliye tu, beki kisiki na ameonesha uhai sana katika safu ya mabvu ya kushoti, amenifurahisha anavyopiga NDIZI (HAPA lazima niwe mkweli nimefananisha ndizi zake na za Mbuyu Twite....namkubali sana)
- Beki wa Kati toka Kagera Sugar
- Samwel Ngassa
- ..................................?
Nawakaribisha sana pale Kinesi mjionee hazina ya Taifa toka kiwanda cha uzalishaji wa wachezaji