Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Miongoni mwa wachezaji ambao wameonekana kuwa tishio sana kikosini Simba pale Kinesi kwa sasa ni pamoja na;

  1. Sino Augustino kutoka Prison ya Mbeya, huyu ana wajihi kama wa Ngassa ilala yeye ana mwili kdg lakn amenivutia sana kwa jinsi alivyo na skills na stamina
  2. Twaha Omar kutoka Coastal Union; ukisikia Messi wa Tatu huyu ni mmojawapo, ni mwepesi sana na anajua mpira
  3. Baba Ubaya, Ngassa aliye tu, beki kisiki na ameonesha uhai sana katika safu ya mabvu ya kushoti, amenifurahisha anavyopiga NDIZI (HAPA lazima niwe mkweli nimefananisha ndizi zake na za Mbuyu Twite....namkubali sana)
  4. Beki wa Kati toka Kagera Sugar
  5. Samwel Ngassa
  6. ..................................?
Kweli nimegundua if you want to be seen stand up...........hawa vijana wakiwa kwenye klabu zao wasingeweza kuonekana hivh

Nawakaribisha sana pale Kinesi mjionee hazina ya Taifa toka kiwanda cha uzalishaji wa wachezaji
 
ni kawaida kuonyesha uwezo kwenye mazoezi, ngoja kipute kianze utabisha kama ni yule yule uliyekuwa unamsifia kinesi!!
 
ni kawaida kuonyesha uwezo kwenye mazoezi, ngoja kipute kianze utabisha kama ni yule yule uliyekuwa unamsifia kinesi!!
ni kweli na hapa umenikumbusha AKUFO.......lakini na miba inaua soka bongo
 
Usajili unafanywa na nani ? na Zacharia Hanspope ha ha ha ha
kuna logic unaiweka hapa, uwkeli ni kwamba wengi wa hawa waliopo mazoezini wamejileta na licha ya kuonesha uhai lakini mwisho wa siku tutkaosikia ni wengine kabisa, usajili unaofanywa na kiongozi ndio mwanzo wa kuhujumiana pale matakwa ya kiongozi huyo yasipofanyiwa kazi...............nasikia Kaburu anaondoka na wachezaji wake kwenda nao Ashanti
 
Vp huyo winga kutoka Uganda anayeitwa Uloya? Huyo ndo natamani asajiliwe fasta.
 
Mazoezi ya Kinesi vijana wanajituma ili wasajiliwe Simba. Hivi sasa wameacha starehe zote na mawazo yote wameyaelekeza uwanjani ili wapate ajira. Ngoja wasajiliwe wapate mshiko waanze kutembelea Kinondoni usiku watakavyokuwa wanacheza utajaza mwenyewe.
 
Miongoni mwa wachezaji ambao wameonekana kuwa tishio sana kikosini Simba pale Kinesi kwa sasa ni pamoja na;

  1. Sino Augustino kutoka Prison ya Mbeya, huyu ana wajihi kama wa Ngassa ilala yeye ana mwili kdg lakn amenivutia sana kwa jinsi alivyo na skills na stamina
  2. Twaha Omar kutoka Coastal Union; ukisikia Messi wa Tatu huyu ni mmojawapo, ni mwepesi sana na anajua mpira
  3. Baba Ubaya, Ngassa aliye tu, beki kisiki na ameonesha uhai sana katika safu ya mabvu ya kushoti, amenifurahisha anavyopiga NDIZI (HAPA lazima niwe mkweli nimefananisha ndizi zake na za Mbuyu Twite....namkubali sana)
  4. Beki wa Kati toka Kagera Sugar
  5. Samwel Ngassa
  6. ..................................?
Kweli nimegundua if you want to be seen stand up...........hawa vijana wakiwa kwenye klabu zao wasingeweza kuonekana hivh

Nawakaribisha sana pale Kinesi mjionee hazina ya Taifa toka kiwanda cha uzalishaji wa wachezaji

Kabla ya mechi yenu ya kufunga dimba la ligi kuu dhidi ya Yanga mliyopigwa 2-0 mlikuwa mnachonga saana kuhusu ubora wa kikosi chenu kama ulivyoandika hapo juu.

Msije kumlaumu Rage pekee halafu!
 
Nakubaliana na mtoa mada. Jana nlienda kinesi huyo messi n baba ubaya wanaujua sana afu wanajituma sana. Personally am expectin much kutoka kwa messi wa coastal aliyesajiliwa. Case study yangu nitamsubiri kwenye game 3 niombe kama yaliyomo yamo kweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kabla ya mechi yenu ya kufunga dimba la ligi kuu dhidi ya Yanga mliyopigwa 2-0 mlikuwa mnachonga saana kuhusu ubora wa kikosi chenu kama ulivyoandika hapo juu.

Msije kumlaumu Rage pekee halafu!
Hivi kesi ya Malashi na Ndlovu imefikia wapi? Je na wale washirika wenu pale Karume wameshakomboa mabasi yao?
 
Hivi vifaa vinavyotisha vinamtisha nani?

To move the world we must first move ourselves - Socrates
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom