Vifaa vilivyoporwa hoteli ya kitalii Serengeti vimekamatwa mchana huu.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Ni katika oparesheni kali inayoendeshwa na Kamanda wa polisi Simon Silo aliyepiga kambi Wilayani Serengeti.Vifaa hivyo vimekamatwa ktk kijiji cha Rung'abure wilayani Serengeti.Vifaa vilivyokamatwa ni Kompyuta ndogo(laptop),Kamera,Viatu,Nguo na Simu.Katika purukushani ya kupambana na majambazi hayo iliyotokea majira ya saa nne asubuhi wamefanikiwa kuwakamata majambazi wawili waliohusika ktk tukio la kuvamia hoteli ya Moivaro.
Source:Mimi mwenyewe.
 
Je tukio la kukamatwa na purukushani hizo zimetokea katika nyumba au vichakani? tangu saa saba hujapata habari zaidi utupe update?
 
Back
Top Bottom