Vidumu na siri nzito!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidumu na siri nzito!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Columbus, May 18, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mahitaji ya chupataka toka dampo la Kinyamwezi Pugu kurudi viwanda vya chupa za maji ndio yaliyopelekea marufuku ya kununua petrol katika chupa na vidumu, usafi wa chupa na vidumu vya maji unakuwa mgumu sana kwao. Swali, je kinachofanyika na marufuku ya vidumu ni sahihi??ina maana wenye viwanda vya chupa wana sauti juu ya mamlaka zilizopo?nawasilisha
  . Taka2.JPG Taka3.JPG Taka1.JPG
  [​IMG]
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa!!!!!!!
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  rudia upya kujenga hoja
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Marufuku ya petrol kwenye vidumu na chupa za maji kwa namna gani, maana vidumu huwa haviokotwi kwa ajili ya recycle.
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  kaka ulikuwa unasemaje?!eti kuwa chupa chakavu (au chupa kwa ujumla)
  zinasafishika kwa tabu ziwapo zimetumika kununulia mafuta???!!!au ulikuwa unamaanisha nini vile!
   
Loading...