Vidume wewe utachagua yupi?

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,555
2,829
Ukiachwa kisiwani yupi kati ya hawa ungependa uachwe naye?
 

Attachments

  • NNGUVA.jpg
    NNGUVA.jpg
    44.4 KB · Views: 470
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake
 
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake

mmoja tu for your companion......
 
Hapo nipe mda wa kidogo maana uchaguzi utakuwa mgumu kidogo, bado nasisitiza wote wawili
 
mimi itabidi niwe na ndoa ya mtala, wote nachukua, huyo nusu mtu juu kwa ajili ya story maana anasura ya kuvutia, ila ktkt gemu huyu wa pili ndio itakuwa kazi yake<!-- google_ad_section_end -->

Hii innovation nimeipenda
 
Mimi B bana! sura kitu gani....................mbona wengi tu hapa .....wenu ni vi poly!:smile-big:
 
Hao wote sio binadamu wakuu, unaweza ukamchukua huyo B halafu mkiwa faragha akatafuna ulimbo akaula! Huyo A juu mzuri lakini mambo hayawezekani.Mimi sichukui yeyote na nitoka mbio ajabu.
 
Ukimchagua B, utakiona cha moto kutokana na meno yake. Ukimchagua A, utakuwa na kazi ya kumbeba mkiwa nchi kavu.
 
Ama kweli lazima uwe engineer hivyo 0.5 +0.5 = 1 ( wachukue wote utapata kitu kizima )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom