...Vidonge vya Kuzuia Nyumba Ndogo...Made in German

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
....Tafadhari jamani nasikia vidonge tajwa hapo juu vimeingia mjini hapa....mvitafute wale wenye Matatizo na kupenda kuwa na nyumba ndogo......

Jamani vidonge hvyo vidonge mnakunywa wote yaani ukikutana na nyumba ndogo unaitoa nduki hutaki hata kumuona...

Madame B,
Bishanga,
Arusha One,
Mamndenyi,
Cl,
Erickb2,
Preta,
St Paka mweusi,
Baba V,
Boflo
na Wengine wote....
 
Binadamu wasivyopenda kuwajibika kwa matendo yao, yaani hata uaminifu katika ndoa mnahitaji dozi!???, hakika kizazi hiki hakitapita pasipo kuona mambo makubwa na ya ajabu,
 
Back
Top Bottom