vidonge vya folic acid

Eeee unarhusiwa Pombe tena kwa wing kwan zinaspeed up rate of rxn
 
Mara nyingi hatushauri pombe, kama mjamzito hatushauri pombe. kwa mimba ikiwa changa hizi zinasaidia kuzuia kupata ulemavu wa kuzaliwa nao. sasa sijui wewe ni jinsia ipi na umepwa kwa shida ipi coz ni rarely prescribed
 
Barca mimi ni mwanamke mimi hata sijui kwanini nimepewa ni vya kazi gani?vinatibu nini?
 
Last edited by a moderator:
Barca mimi ni mwanamke mimi hata sijui kwanini nimepewa ni vya kazi gani?vinatibu nini?
Ni mjamzito? lkn kama ni mjamzito hio dosage ni kubwa sana nadhani dosage ulopewa ni kwaajili ya kutibu Folate deficiency anaemia huitwa vilevile megaloblastic anaemia
Anaemia:ni mapungufu ya chembechembe nyekundu za damu ziitwazo haemoglobin mwilini.Kazi ya hizo chembechembe nyekundu(haemoglobin ) ni kubeba oxygen na kuisafirisha kwenye damu kutoka kwenye mapafu kueleka katika capillaries.Ukipatwa na hio megaloblastic anaemia ni kwamba hizo chembechembe nyekundu zinakuwa na umbo kubwa kuliko kawaida kwahio kushindwa kubeba okygen ya kutosha au ipasavyo.
Dalili za ugonjwa huu ni:
1.uchovu
2.kutojisikia vyema
3.ngozi kupayuka
4.kushindwa kupumua vizuri
5.muonekano wa kucha hubadilika na kuwa concave zinakuwa mviringo
6.Matatizo ya moyo
 
hapo kwenye nyekundu ni haupo sahihi kwa hapa tanzania , hiyo dosage aliyotoa Barca ipo sahihi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom