Kiramamoshi2019
Member
- Jun 12, 2019
- 6
- 0
Nahitaji Kujua Dawa Zitakazo nisaidia Kutibu haya Magonjwa niliyonayo Nimeenda Hospitali Kupima Nikakutwa wadudu wa H pylori,Typhoid Vile nina Kikohozi Baada ya Hapo Daktari Ameniandikia Esomeprazole,Metronidazole(Flagyl) Pamoja na Ciproflaxin hii ina maana Anatibu Haya Magonjwa Yote kwa wakati Moja .....Je Ni sahihi kwa Hizi Dawa nilizo andikiwa....????