Vidonda vya koo vinanitesa

Mkuu pole kwa maradhi yako ya vidonda vya Koo nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia kwa muda wa siku 21 utakuwa umepona kabisa hivyo vidonda vyako vya koo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Sawa mkuu
 
Huenda vidonda vyako vikawa ni maambuz ya virus bacteria au fangas
.
Kwa vinatokea kwa maambuz ya virus huwa vinapona vyenyew na havihitaj dawa zaid ya ant pain
.
Vinavyotokana na bacteria hv huwa severe na vinachkua mda sana kupona na vinahitajoli antibiotic ili vipone kabisa... Kutokuvitibu vikapona kabisa vinaweza kukusababishia shida kwny moyo (rheumatic heart disease)
.
Vinavyotokana na fangas ni Mara chache sana kutokea
.
Kuna ambavyo vinaanzishwa na fangas au virus lkn bacteria wanakuja kuvamia baadae na kufanya hali kuwa mbaya zaid
.
Kuwa na kiungulia mara kwa mara pia inaweza kusababshwa na ile tindikali ya tumbon inayopanda kooni
.
Dalili ya saratan ya koo inayoletwa na human papiloma virus wanaoambukizwa kwa njia ya kuzama sana chumvin na longterm smoking habit
.
Uzoefu wng unaniambia utakuwa na maambuz ya bacteria yaliozuka baada ya virus/fungas na kwakuwa umeshatumia dawa kadhaa pasipo mafanikio hvyo nakushauri utumie dawa zaid ya moja kwa muda usiopungua siku14
.
Antiseptic mouthwash d1-d14
Septrin d1-d14
Azithromycin 500mg d1-d7
Nystatin (p.o) d8-14
d=(day/siku)
.
Nina uhakika 90% utapona na usipopona nenda kwny hospitali yenye competent pathology laboratory wakuchkue sample wakapime
Kuna huu ugonjwa unaitwa LPR Laryngopharyngeal Reflux Disease. Nimesoma tatizo lake linafanana vile vile na huu ugonjwa. Huu ugonjwa unaweza kumpata mtu yeyote ila kwa watu wazima unazidishwa na kula vyakula vya spicy and acidic food. Dawa inayoshauriwa ni Dexlansoprazole 60 mg capsule. Ila kikubwa epuka vyakula visababishi, avoid alcohol and quit smoking. Usile masaa matatu au mawili kabla ya kulala na usilalie mto mkubwa. chacha mwewe soma kuhusu huu ugonjwa uone kama unafanana na wewe unavyojisikia.
 
Tatzo sie Africans we adapt western culture for instance kunyonya sehm za kike, unaweza ukazani na sawa but sio tabia nzuri,ambae hajawahi kupata tatzo atakataa na atasema ni vzr ila kwa waliowahi kuonja ubaya wake hawawezi kurudia

Let us avoid western vulture which demolize our own betterment

Ushauri
Nenda hospital and tell them the reality of its background
Mbona unamshambulia sana, una uhakika gani kama tatizo hilo linatokana na kuzama chumvini? Tujifunze ustaarabu jamani, hebu imagine ndio wewe unaomba ushauri halafu ndio unashambuliwa namna hii, would you be happy?. Halafu jifunze kuandika maneno ya Kiingereza vizuri kama hujui ni vizuri ukaandika Lugha yetu ya taifa tu
 
Wacha nitajaribu mkuu maana mpaka sasa sauti yangu INA shida na masikio pia wakati mwengine yanauma
Pole sana mkuu, Mungu akuponye, kama ni mkristu nakushauri uwe unafanya na maombi pia wakati mwingine shetani huwa anachezea afya zetu.
 
Nenda hospitali pima vipimo vya afya yako. Magonjwa kwa sasa ni mengi na kama dawa zote hizo hazionyeshi mafanikio, vipimo ni muhimu
 
Natumai muwazima nyote,nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya koo kwa mda wa miezi 4 nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio na ilianza kama mafua lkn kwa naona vidonda vinazidi kutapakaa kwenye tissue ya koo naomba dr munisaidie,hospital nimenda lkn bado naumwa.
883d5df317ff0788fc639ff05536f1db.jpg
ni dalili pia ya mtu anasumbuliwa na virus
 
Back
Top Bottom