Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

Je unafanya kazi gani za nguvu zinazotumia mikono zaidi?
Kulima KWA jembe LA mkono?kugonga kokoto? Kuchoma mkaa, kuchanja kuni KWA shoka?

Inavyoonekana tatizo ni kwamba, mikono yako unaishughulisha sana NA kazi ngumu ngumu za kutumia nguvu, hivyo ngozi ya viganjani imekomaa na kukakamaa sana. Kiini cha tatizo ni lazima itakuwa hii, endapo kama haujawahi kuugua ugongwa wowote ule ambao umeathiri ubora wa ngozi yako ya kwenye viganja, e.g.ukoma.
Ama huenda alikuwa muuza mahini ya kuchoma ama muuza mishikaki.......inawezekana
 
Siku nimeenda kusajili nilimkuta mwanamke wa kihindi nae ana tatizo kama hilo, alisababisha foleni mpaka akaambiwa akae kwanza pembeni maana walijaribu vidole vyote vitano hakuna kilicho kubali. Nilishangaa sana kumbe ni tatizo la wengi?
 
angalia aina ya mafuta unayopaka kama ni ua kulainisha sana ngozi inaweza kuwa sababu.wakati mwingine ama sabuni .jaribu kufua sana zinaweza kurudi.ila nimewahi kumuona mama mmoja ambaye hana kabisa hizo nilimkuta nssf na wao wanajua shida yake.NB kiutani watu wa namna hii ni wale born criminal.kuwapata kupitia alama za vidole sio rahisi.wameumbwa hivyo.
 
Msaada wataalam.

Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.

Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.
Kwenye usajili wa vitambulisho vya NIDA ilikuaje? Ulijisajili vizuri tuu, vidole vilisoma kwenye mashine za biometric?
Asante
 
Msaada wataalam.

Vidole vya mikono yangu vimeshindikana kusomeka kwenye mashine za biometric wakati wa kusajili laini za simu, nimejaribu zaidi ya vituo 4 lakini imeshindikana.

Naomba msaada ni kitu gani kinasababisha hali ya aina hii kujitokeza, na nifanye nini au nile vyakula au dawa za aina gani kusaidia vidole kusomeka.
Mkuu au uliviua alama zake kwa kupima oil sana?
 
Inawezekana ana ngozi nene na ngumu kidogo vidoleni, namshauri afanye masage ya mara Kwa mara ya vidole, ili ngozi iwe laini damu itembee kirahisi vidoleni ili scanner ipate urahisi wa kusoma mistari ya vidoleni.
 
Huwa inatokea, kuna jamaa pia huwa hawezi kutumia fingerprint za simu
 
Back
Top Bottom