Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,084
- 1,076
- Thread starter
- #21
Je unafanya kazi gani za nguvu zinazotumia mikono zaidi?
Kulima KWA jembe LA mkono?kugonga kokoto? Kuchoma mkaa, kuchanja kuni KWA shoka?
Inavyoonekana tatizo ni kwamba, mikono yako unaishughulisha sana NA kazi ngumu ngumu za kutumia nguvu, hivyo ngozi ya viganjani imekomaa na kukakamaa sana. Kiini cha tatizo ni lazima itakuwa hii, endapo kama haujawahi kuugua ugongwa wowote ule ambao umeathiri ubora wa ngozi yako ya kwenye viganja, e.g.ukoma.
Mimi ni mhasibu muda wote niko ofisini