Vidole viwili juu vyatawala tamasha la pasaka u/taifa mbele ya membe na nape.

hizo ni salamu za ziara ya lema jijini Dar.
ILe safari ya serikali kunamia dodoma imefika kwa sababu Dar itakuwa chungu kwa watawala.

Timing ya ziara ya Mh. Lema Dar ni sawa na striker kuswaga toka kati ya uwanja kuelekea lango pinzani ambalo mabeki, golikipa na forward yote wako matembezi! Wabunge na serikali yote itakuwa Bungeni Dom wakati Mh. Lema akitikisa nyavu zao Dar na Mikoani.
 
Wanajaribu kucompete na Laigwanan kugawa fedha wanafikiri watamuweza kweli mtu aliyepiga ufisadi wa kuchukua milioni 160 kwa siku? Kwa jinsi kasi ya madiliko ilivyo kubwa sidhani kama hizo hela wanazomwaga zitarudi kwani wananchi wameishasema ccm haikubaliki na tunashirikiana kuitokomeza.
 
Napata tabu kuamini hata kwenye tamasha la injili waongo wapo. Uwanja huu huu na mimi nipo hivo vidole viwili vilikuwa vimeonyeshwa chini ya sketi na suruali? Kwanza kwa nature ya uwanja ulivyojaa karibu nusu (uwanja una uwezo wa 60,000) na umbali kati ya jukwaa na stage unawezaje kunyosha vidole vikaonekana?

Je, unaweza pia kutuambia Membe katamka nini leo kwenye hotuba yake?

acha kufikiri mwisho wa usawa wa pua yako yu...mimi nimekaa huku jukwaa la yanga na mara nyingi watu wamemnyoshea membe vidole viwili...unataka niseme membe ameongea nini ili nimfaidihe nani...inaonyesha wewe hukuwepo na unataka nikufahamishe hata hivyo sina muda huo wa kipuuzi...
 
peoplesssssssssssssssssss magamba yote down yanapukutika kama ngozi ya mwakyembe inavyotoa unga unga
 
Magamba wao kazi yao ni kutoa fedha za ki freemasons tu. Kuna sehemu kibao ambazo zinahitaji misaada yao hawazioni. KUNA WAZEE WASIOJIWEZA SHINYANGA, TABORA NA MOROGORO, hawawaoni hao na shida walizonazo. Wanafiki wakubwa!
 
Hawa nao waandaa matamasha ndo wakome kualika watu wenye fedha tu, wakati mwingine uadilifu ni bora kuliko fedha nyingi, kazi yao kujipendekeza kwa watawala tu, sasa kuna shift of power wanapaswa kutambua hilo!
 
Katika kuonyesha kuwa kuwa viongozi wa ccm wamechokwa katika kila kundi la jamii nchini...leo hapa uwanja wa taifa katika tamasha la pasaka ambalo mgeni rasmi ni Bernad Membe vimetawala vidole viwili ambavyo ni ishara ya chama cha democrasia na maendeleo....alama hiyo iliibuka mara baada ya Membe kuanza kutoa hotuba yake...pia vidole hivyo viwili vikiambatana na zomeazomea vilitawala wakati nape nnauye akitambulishwa na pale Membe alipoonyesha kutaka kuirefusha hotuba yake...katika tamasha hilo Membe aliahidi kutoa shillingi millioni kumi huku akisema rais ameahidi kutoa millioni kumi na waziri mkuu pinda akiahidi kutoa milioni tano.



Source: Mimi mwenyewe nimeshuhudia.
Mtu akikunyoshea vidole viwili ujue huyo tayari tumeshampiga mimba ya mapacha ...... Kudadadeki.......... Maneno ya Mh. Lusinde mbunge wa Mtera
 
Tatizo ni kwamba binadamu ni kiumbe wa ajabu sana hasa akiwa na furaha sana au akichukia sana huwa hawezi kujicontrol. Najua walikuwa wageni wa kidini hivyo hawakuja kisiasa ila ukweli ni kwamba siasa ndio imewafanya watambulike na hata kufikia kupewa heshima ya ugeni huo. Kwa mwananchi wa kawaida ambaye hana mahali pa kukutana na Membe wala Nape pale anapachukulia kama ni mahali pa kufikisha hisia zake. Ni mbaya lakini pia ni msg tosha kwa viongozi hao! Just imagine wangekuwa wameshafanikiwa kulivua gamba na wezi wa EPA, Rada na Richmond wakawa mikononi mwa sheria unadhani wasingeshangiliwa? Hapo tungesemaje haikupaswa kushangiliwa kwa vile hawakujakisiasa? Binadamu hutembea na kivuli chake hivyo hawana sababu ya kuogopavivuli vyao! Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom