Vidole kinatetemeka

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,791
Siku za nyuma nimekuwa nikigida ulabu kwa kwenda mbele.
Kuanzia jana nimegundua kitu kisicho cha kawaida, vidole vhangu vimekuwa vikitetemeka kila nikishika kitu.
Je hii ni dalili ya nini? Nifanyeje ili nisitetemeke, maana hata nikishika simu nimekuwa nikitetemeka, glass natetemeka nayo hadi nikijaza maji yanataka kumwagika
 
mwana hiyo soo ni stage ya mwisho kabisa ya walevi mara nyingi ukifikia hatua hiyo huwa ni ngumu sana kurekebishika kinachofuata ni kifo na ndio maana mara nyingi wamekuwa wakishauri pombe mbaya kama ukizidisha kunywa naongea hivyo sababu nipo katika sekta ya ualimu so nimekumbana na hayo sana hasa kwa waalimu wa vijijini wale wanaopiga sana maji wengi wakifikia hatuia hiyo huwa wanaenda hospitali kupata matibabu na hatimaye mwishoni hutumia gharama nyingi na mwisho wake ni kupoteza maisha au kubaki hivyohivyo akitetemeka kiukweli pombe tunywe bali tusizidishe kisi hicho hiyo ni hatua mbaya sana!
 
Wacha kunywa pombe na vinywaji vyenye caffeine.

I would recommend seeking a neurological evaluation since there are a number of conditions, including Parkinson's disease, that could be responsible. Another possible cause is a disorder called "essential tremor", which is common among older adults and occurs 20 times more often than Parkinson's disease. Consuming too much alcohol can affect the steadiness of your hands due to its negative effect on the central nervous system. Shaky hands and feelings of nervousness in the mornings can also be a sign of alcoholism.
 
Pole ni kwa sababu sasa umefikia hatua ya pombe kuinywa pombe na hayo ndio matokeo. ngoja tusubiri wataalamu watusaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom