Vidio za Kongamano la kuidai Zanzibar katika Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidio za Kongamano la kuidai Zanzibar katika Muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Oct 13, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
 2. s

  salmar JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Zanzibar huru inanukia
   
 3. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kelele zote hizi za nini? Ivi kumbe ushawishi wote wa kujitenga ni kupita msikiti hadi msikiti kushawishiana!!! Naona Wagunya mishipa imewatoka kisa kuuvunja Muungano! si mtumie njia rahisi tu, ya ' KUTOITAMBUA SERIKALI YA MUUNGANO' na pia 'KUSUSIA SHUGHULI ZOTE ZA MUUNGANO NA TAASISI ZAKE'. Pia mzee wa MIKASI ajitoe kwenye Umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Mkifanya hivyo, nina hakika Wagunya mna nia ya dhati ya Kuitaka Zanzibar huru. kinyume chake mnatupigia kelele zisizo za msingi.
   
 4. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mansoory uko juu nimeipenda sana speech Kama hizi viongozi kuweni wazi musiangalie vyeo tuu.
   
 5. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mansoory uko juu nimeipenda sana speech Hii, viongozi kuweni wazi musiangalie vyeo tuu.
   
 6. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Zanzibar wanasisitiza muunungano wa mkataba na Tanganyika!!! Lakini je Watanganyika wakisema hawataki mkataba na Zanzibar itakuwaje?
   
Loading...