Vidhibiti muhimu kwenye jaribio lililoshindikana la kutaka kummaliza TL

Misahafu inasema hakuna mkamilifu LA hata mmoja chini ya jua..
Kama hakuna mkamilifu basi hata miundovitu vya mwanadamu sio kamili, kamilifu, timilifu....

Tukio lolote la kupanga huacha alama ama ushahidi mdogo kabisa unaopelekea uvumbuzi wa kushangaza sana wa tukio lote
Tone la damu
Kifungo cha shati
Unyayo ardhini
Risiti ya mafuta

Tairi za gari nknk ni vidhibiti vikubwa mno kwenye kutatua kesi zinazotatiza sana
Sakata la shambulio lililotakiwa kumuondoa Lisu duniani liko wazi mno.. Na mamlaka zikiamua kutenda kwa weledi hii ni kesi rahisi mno

Kinacholeta urahisi zaidi ni kwamba Lisu na dereva wake wote wako hai na wana kumbukumbu kamili, sura za watuhumiwa zimeganda vizuri kwenye bongo zao kwakuwa si mara ya kwanza kukutana ama kuonana kwa karibu kabisa

Magari yaliyotumika, rangi na namba zao, vinajulikana na ni rahisi mno kufuatilia....
Mawasiliano ya simu, namba, jumbe fupi, masafa ya mawasiliano, vituo(locations) muda, uelekeo na hata sauti, hivi vyote zinapatikana TCRA kwa amri ama ombi la polisi
Nyumba za wageni ama binafsi walizofikia, sehemu walizotembelea nk... Kumbuka hapa kuna watu washukiwa kwa majina kwamba siku ya tukio walionekana Dodoma.... Siku hizi kuna tekinolojia ya camera, nina hakika hawa watu wasiojulikana, kuna mahali bila wao kujua ama kutegemea walinaswa na camera... Hizi picha zipo kama hazijafutwa bado

Walinzi wa getini, kule area D, tukumbuke yale maeneo sio uswazi kunakaa viongozi hivyo ulinzi rasmi haukosekani

Maganda yale ya risasi yanaweza kutoa mwanga mkubwa kwenye hili ni rahisi mno kufuatilia na kujua silaha iliyotumika nknk kama tukiamua kutenda kwa weledi
Mchoro wa safari toka bungeni, eneo la maegesho muda waliotoka mpaka kuja kugundua wanafuatuliwa ni clue muhimu pia

Kuna mengi kwenye hili lakini tukiamua kutenda kwa weledi watuhumiwa wetu hawako mbali na sero ni suala na muda tu
Mshana junior huko tumemaliza, tujenge nchi Kwa Sasa.
Hakuna maarufu kama yesu dunia hii na hatukonae.
 
Ushahidi wa kutosha upo Mkuu, lakini wahusika wa hili shambulizi hawataki uchunguzi ufanyike ili kuficha uovu wao.

Misahafu inasema hakuna mkamilifu LA hata mmoja chini ya jua..
Kama hakuna mkamilifu basi hata miundovitu vya mwanadamu sio kamili, kamilifu, timilifu....

Tukio lolote la kupanga huacha alama ama ushahidi mdogo kabisa unaopelekea uvumbuzi wa kushangaza sana wa tukio lote
Tone la damu
Kifungo cha shati
Unyayo ardhini
Risiti ya mafuta

Tairi za gari nknk ni vidhibiti vikubwa mno kwenye kutatua kesi zinazotatiza sana
Sakata la shambulio lililotakiwa kumuondoa Lisu duniani liko wazi mno.. Na mamlaka zikiamua kutenda kwa weledi hii ni kesi rahisi mno

Kinacholeta urahisi zaidi ni kwamba Lisu na dereva wake wote wako hai na wana kumbukumbu kamili, sura za watuhumiwa zimeganda vizuri kwenye bongo zao kwakuwa si mara ya kwanza kukutana ama kuonana kwa karibu kabisa

Magari yaliyotumika, rangi na namba zao, vinajulikana na ni rahisi mno kufuatilia....
Mawasiliano ya simu, namba, jumbe fupi, masafa ya mawasiliano, vituo(locations) muda, uelekeo na hata sauti, hivi vyote zinapatikana TCRA kwa amri ama ombi la polisi
Nyumba za wageni ama binafsi walizofikia, sehemu walizotembelea nk... Kumbuka hapa kuna watu washukiwa kwa majina kwamba siku ya tukio walionekana Dodoma.... Siku hizi kuna tekinolojia ya camera, nina hakika hawa watu wasiojulikana, kuna mahali bila wao kujua ama kutegemea walinaswa na camera... Hizi picha zipo kama hazijafutwa bado

Walinzi wa getini, kule area D, tukumbuke yale maeneo sio uswazi kunakaa viongozi hivyo ulinzi rasmi haukosekani

Maganda yale ya risasi yanaweza kutoa mwanga mkubwa kwenye hili ni rahisi mno kufuatilia na kujua silaha iliyotumika nknk kama tukiamua kutenda kwa weledi
Mchoro wa safari toka bungeni, eneo la maegesho muda waliotoka mpaka kuja kugundua wanafuatuliwa ni clue muhimu pia

Kuna mengi kwenye hili lakini tukiamua kutenda kwa weledi watuhumiwa wetu hawako mbali na sero ni suala na muda tu
 
Mkuu namba zinazotajwa ni za gari sii za hii mashine kweli? sidhani kama nakosea ngoja wasachi utasikia , au burudoza lililochimbaga barabara ya (morogoro road) miaka ya 1880 na wajerumani.
1ce9cdd9e5832844b82d83478776ccf4.jpg
 
We nae..
 
nje nje tu
 
Nimecheka kwa sauti
 
Mshana Jr, acha kusumbua akili yako, kesi ya mbuzi na simba judge ni Fisi, wapi na wapi?
 
WAKIFWATILIA MWENENDO WA SAFARI YA TL MPAKA TUKIO LINATOKEA LAZIMA KUNA MAENEO WALIPITA NA CCTV CAMERA ZIKAWANASA WOTE KWA PAMOJA ISTOHE GARI LINAJURIKANA BASI UTAKUA MWANZO MZURI
 
Wanaojua hizi kazi wakija ni siku mbili tu, mbona baadhi yao watakoma..ref tukio la Zanzibar la mwanamke wa kizungu kumwagiwa tindikali na wanaojua walianza kazi baada ya siku tisa lakini walifanikiwa ndani ya siku mbili tu! Natamani sana itokee na TL pia ili tukomeshe huu ubabe wa kijinga!
 
Tuzidi tu kumuombea kwa Mungu
 
Nikweli tungependa kujua wauwaji. Ila kumbuka hata waliovamia clouds ati hawajulikani wakati wanaoneakana kwenye cc TV. Hii inchi tumekabidhi watu wa ajabu
 
Kila lenye asili halikosi tamati.... Na hakuna mkubwa kuliko Mungu
 
WAKIFWATILIA MWENENDO WA SAFARI YA TL MPAKA TUKIO LINATOKEA LAZIMA KUNA MAENEO WALIPITA NA CCTV CAMERA ZIKAWANASA WOTE KWA PAMOJA ISTOHE GARI LINAJURIKANA BASI UTAKUA MWANZO MZURI
Kwa mujibu wa mashuhuda gari husika ilipewa njia na traffic, haikukaa foleni , na siku hiyo walinzi wa eneo husika hawakuwepo kazini
 
Back
Top Bottom