Videographer, Photographer, Graphics designer, DJ natafuta kazi

Sean Mr

New Member
Jan 30, 2021
1
0
Husika na Kichwa Cha tangazo hili hapo awali, Majina yangu halisi ni, Magori M. Chacha., Niko Arusha mjini, Elimu yangu ni Kidato Cha nne hayo mambo mengine ni Kiwapa tu mungu amenijaaria, toka nianze izo Kazi ni miaka minne(4) mpaka sasa ivo nina uzoefu wa kutosha, nina uwezo wa kufanya kazi mazingira yoyote. Vifaa vya kazi ni jukumu la muajiri. Asanteni

mawasiliano yangu ni 0766662378 na 0673662378
 
Back
Top Bottom