Videoder inafuta files

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Wataalam msaada wenu tafadhali, nmekuwa nkidownload audio files kwa videoder zinakuwa zinapotea sizipati kwenye storage japo znadownlodika vizuri tu. Simu Samsung A50.
 
Baada ya latest update ya android videoder imekuwa na hiyo shida ya kufuta files. Mimi nimebadilisha default downloads folder. Nimetoa kwenye internal memory nimepeleka kwenye SD card. Inafanya kazi fresh tu.
 
Wataalam msaada wenu tafadhali, nmekuwa nkidownload audio files kwa videoder zinakuwa zinapotea sizipati kwenye storage japo znadownlodika vizuri tu. Simu Samsung A50.
Nenda internal storage .... WhatsApp file ..,....Audio kisha copy (.no media ) file ukimaliza nenda kwenye Videoder downloads folder paste hiyo file
 
Videoder imekuwa ya kiku... sana. Ina katabia ka kusizi siku hizi na kugandisha simu (unaandikiwa can't respond- wait or ok) ukipiga ok inakata na kuexit kabisa. Yani mimi nimeitoa mara kadhaa na kuirudisha nikidhani labda ni simu kumbe yenyewe tu

Shida nyingine hiyo kitu pale kwenye storage ukitaka kusevu iwe kwenye memorikadi kuna muda mwingine inakataa
 
Wataalam msaada wenu tafadhali, nmekuwa nkidownload audio files kwa videoder zinakuwa zinapotea sizipati kwenye storage japo znadownlodika vizuri tu. Simu Samsung A50.
Tafuta app inaitwa ymusic ina feature kama za videoder hyo videoder inasumbua sana.Hii ni kama mbadala wa videoder ni player ya music pia..
Screenshot_2022-10-25-22-49-55-566_com.mi.android.globallauncher.jpg

View attachment 2397932View attachment 2397931View attachment 2397933View attachment 2397934
 
Nenda internal storage .... WhatsApp file ..,....Audio kisha copy (.no media ) file ukimaliza nenda kwenye Videoder downloads folder paste hiyo file
Halo, Videoder version 14.4.2 kila nikijaribu kuifungua inaniambia " Cannot install...as you need working internet for the first time". Msaada hapa.
 
Back
Top Bottom